Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nina swali. Naomba ujibu kwa adabu bila matusi. Hii sheria mpya iliyotungwa itacancel yale macontracts mbovu ya kinyonyaji yaliotiwa saini wakati wa awamu ya tatu? Au sheria hii haiwezi kucancel hizo contracts?
 
Tony254 Kuna sheria nyingi za kubana, mkataba unaweza kuwa halali lakini serikali ikakunyima leseni ya kuendesha biashara mpaka muda wa mkataba ukaisha.
 
hamna waziri aliyesimamia miradi vizuri kama yeye!

Mzee Jafo ni mtu wa kuzunguka tu ila hana jicho la kujua tatzo lilojificha hasa kwenye mapato ya halmashauri, kuna upigaji wa hatari...Jafo anaona tatizo mpaka liwe wazi sana ni rahisi kumdanganya na akabaki kusifia sifia tu mara Raisi cjui Raisi..Kama kuna mtu anafanya kazi halmashauri atakubaliana na mm jamaa kafeli kwenye kudhibiti wizi na ufujaji wa pesa kwnye halmashauri. Amebase sana kwnye miradi wakati uku watu wanapiga.
 
una chuki binafsi kwani yeye ni TAKURURU? yeye anasimamia miradi ya TAMISEMI vizuri! huwezi ukaazungumzia upigaji wa miaka ya Kikwete na sasa!
 
una chuki binafsi kwani yeye ni TAKURURU? yeye anasimamia miradi ya TAMISEMI vizuri! huwezi ukaazungumzia upigaji wa miaka ya Kikwete na sasa!

Chuki gani binafsi acha kuropoka, ina maana Waziri hana wajibu wa kusimamia wizi na ufujaji wa sekta yake mpaka TAKUKURU kama ni hvyo mbna kangi lugola aliwajibika....Zen inaonekana hauna uzoefu na halmashauri kwani wizi na ufujaji bado unaendelea sio enzi za kikwete nazungumzia sasa hiv acha kuangalia vitu kwenye TV na kufanya tathmini zako..kma kuna mtu yupo halmashauri ataconfirm ninacho zungumza.
 
Nina swali. Naomba ujibu kwa adabu bila matusi. Hii sheria mpya iliyotungwa itacancel yale macontracts mbovu ya kinyonyaji yaliotiwa saini wakati wa awamu ya tatu? Au sheria hii haiwezi kucancel hizo contracts?
yes ilifuta kilakitu even licence zilitolewa upya na alieshindwa kufikia vigezo alinyanganywa ndo maana kuna vikesikesi vilifunguliwa na vingine vinaendelea dhidi ya serkal.
sasa hii sheria ya asaivi ni 16% ya serkal then 50 50 faida ghafi (kupitia kampuni za ubia mfano stamico twiga tembo etc.

kwa kifupi tuu 👆👆
 
Nina swali. Naomba ujibu kwa adabu bila matusi. Hii sheria mpya iliyotungwa itacancel yale macontracts mbovu ya kinyonyaji yaliotiwa saini wakati wa awamu ya tatu? Au sheria hii haiwezi kucancel hizo contracts?
Wewe ni nani kwangu uhitaji adabu!? Unakosa adabu katika kuuliza swali nitakujibuje kwa adabu.

Anyways kwa faida ya wengi:
Kuna marekebisho ya sheria ya mining.
Ipo mining act ya 2018

ipitie uisome kisha uje na mawazo yako tujadili.
 
Tunaendelea...
TIN inapatikana kwa wingi Tanzania

USES OF TIN
 
Tantalum inapatikana ya kutosha Tanzania
Tantalum raw materials are also being explored in Canada, Colombia, Egypt, Madagascar, Namibia, Saudi Arabia, Sierra Leone, South Africa, Tanzania, Venezuela and Zimbabwe.
USES OF TANTALUM
 
Tanzania ninakupenda kwa moyo wote. Watu wanakutamani sasa, wakenya wenye roho za korosho, tutahakikisha tunakulinda toka kwa mabaradhuli na mahayawani hawa.
Dar es Salaam. Tanzania will start exporting tin and its base metals of tantalum and wolframite, which are currently mined in Kyerwa and Ngara districts in Kagera Region
 
Sasa nipe sababu kwanini Mwinyi atolewe Urais Zanzibar aje kurithi Mikoba Mainland? Ndo ntoke mzee! Anatakiwa mtu mtendaji na hospitali, mashule, mabarabara ya Halmashauri na umeme wa REA utamtoa kimaso Jafo! Huwezi ukawa na wizara ngumu kama TAMISEMI halafu ukaa ofisini tu!
 
TAMISEMI ni Wizara ngumu mno.
Yaani naona Jafo anajitahidi sana. TAMISEMI is everything. Wizara zote zipo combined kwenye TAMISEMI.
Ipo D by D policy
 
We fala kweli leo ndio unaijua jamii forums [emoji3][emoji3][emoji3]

Hao wapo wengi humu, wanaitwa UFIPA hawataki hata kuuona huu uzi, huwa unawaumiza sn huu uzi wakiona mafanikio ya Tz [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Usikane watanzania wenzako, wamevaa viatu wanajua where it hurts perfectly., hampendi ukweli, but that is it exactly. Mambo kwa ground sio rosy kaka, your reasoning is a mere denial of truth[emoji23][emoji23]kwa vile hampendi ukweli.
 
UFIPA hawa wewe [emoji3][emoji3][emoji3]

Km hujui jamii forums ndio hii, hao masaa 24 kazi yao kupost misiba ili washawishi watu kwmb kuna corona Tz na ipo hatua mby sn, yn mtu asife wamepost as if watu huwa hawafi [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23]point sio Corona hapa, facts from the ground, wapenda ukweli wewe utawachukia tu lakini ni ukweli, people are giving objective responses to a post., an eye opening thread. Andika kile unataka, everything imewekwa wazi wazi, your defense haina uwezo wa kubadili ukweli, so just relax and move on with other topics.,[emoji23][emoji23][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…