NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,315
- 19,683
Mbona unreason kiutoto hivo? Sasa juu jengo ni la Banki kuu lazima nikuonyeshe la Banki kuu la huku? Si bora kuna majengo mengine mengi tu bora kushinda hilo? Hivi nikikuuliza unionyeshe lenu la Britam au TRA litatoshana na letu? 🤣 🤣 🤣Nionyeshe bank kuu ya kenya hayo ni majengo ya bank kuu ya Tz
Hii sehemu ina potential nzuri sana kuja ku-grow nakuwa the most modern institute in the whole of Africa!
mbona ngara umeweka picha yake hizo zingine umeandika majina pekee!!!!!Ngara =posta,kariokoo and upangaView attachment 1697031
[emoji23][emoji23]mbona ngara umeweka picha yake hizo zingine umeandika majina pekee!!!!!
ungeweka na picha zake[emoji3]
Kwani unadhani hajui kariakoo kuna viberiti vingi kuliko nairobi [emoji23][emoji23][emoji23]mbona ngara umeweka picha yake hizo zingine umeandika majina pekee!!!!!
ungeweka na picha zake[emoji3]
haya muonyeshe mtoto wako wa 2yrs muulize ipi picha nzuri hapo.[emoji23][emoji23]View attachment 1697046View attachment 1697047
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]haya muonyeshe mtoto wako wa 2yrs muulize ipi picha nzuri hapo.
leta jibu.
Ofcourse Slums r part n parcel of Nairobi! Mbona unakataa asili?Nimekuwa nikijiuliza, Mbona Watanzania hujibu vitu vizuri za Nairobi, kwa picha mbovu za Kibera.....?
Lakini nimepata kuelewa.
Ukimwambia Mtanzania hapa ni Eastlands Nairobi, atakataa na kuja na takwimu za slums in Nairobi
View attachment 1696919
View attachment 1696920
Ukimwambia kwamba hapa ni Kasarani, ataenda kutafuta picha mbovu ya slums Nairobi.
View attachment 1696921
View attachment 1696923
View attachment 1696924
View attachment 1696925
Ukimweleza hapa ni Runda Nairobi, atakweleza nyumba za wabeberu kisha arudi Kibera,
View attachment 1696946
Ukija useme KIambu ipo kwenye Nairobi Metropolitan Area, atakuletea Map ya Nairobi County aseme Kiambu si Nairobi
View attachment 1696949
Nimepata ufahamu, kwamba Dar es Salaam can not compare with Nairobi.
It can only compare with Slums in it,
Because the whole of Dar es Salaam ni slum.
Another thing, Tanzanians don't watch videos about Kenya posted here, so Kenyans just take screen shots for them
Dar cbdn ngara?[emoji23][emoji23][emoji23] Ngara iyo imejaa vibanda tupu[emoji23][emoji23]View attachment 1697046View attachment 1697047
Imefanyaje
Siafiki cancer facility ijengwe hapo, nafikiri ijengwe kanda zingine ambako hakuna,Thinking waweke hostels kali kwa ajili ya wanafunzi ili ku expand Muhas kwa huko ..wana eneo kubwa plus waongeze Cancer facility kuongeza services