Hahaha Kwa hivyo umekubali kwamba mpira imewakataa?Sisi mpira hatujui hilo halina ubishi, tunaupenda sn ila ulitukataa but we have the best soccer league in the region, km England vilee mpira hawajui ila ligi bora [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1695956
East Africa nchi zilizoenda CHAN 2021 group stage ni Uganda, Tanzania and Rwanda. Siioni Kenya.Kwenye Cecafa ya nchi baina ya nchi, even in the last 20 years national team ya Kenya inafanya vizuri kushinda Tanzania. Tumeshinda kikombe ya Cecafa nadhani mara mbili in the last 15 years.
Simba na Namungo zipo Group stage kwenye championship. Kenya mko wapi!?What about latest tournaments, inter clubs kama ya sporrtpesa., club za kwenyu zilitolewa kivumbi na sio mara moja., can you explain?
mpira ni karata, leo utashinda keshoye unanyoroshwa.,
Mimi nazungumzia in the last 15 years wewe unazungumzia 2021. Ulipita mtihani wa shule vipi wewe?East Africa nchi zilizoenda CHAN 2021 group stage ni Uganda, Tanzania and Rwanda. Siioni Kenya.
Mpira sisi hatujui kabisa ila tuna ligi bora kwakuwa tuna pesa ya kulipa wachezaji kutoka mataifa ya nje kuja kung'arisha ligi yetu, mchezaji wa Tanzania analipwa vzr kuliko wewe na elimu yako au kuliko mabosi wengi tu Africa hapa.Hahaha Kwa hivyo umekubali kwamba mpira imewakataa?
Sasa wewe unaoneshwa jezi za yanga, wewe unaongelea 15 yrs ago!!Mimi nazungumzia in the last 15 years wewe unazungumzia 2021. Ulipita mtihani wa shule vipi wewe?
Wewe ni gani wewe unajivunia past events and not current issues?Mimi nazungumzia in the last 15 years wewe unazungumzia 2021. Ulipita mtihani wa shule vipi wewe?
Tony huwa anashangaza sana eti huwa anasema Watz twende tukaangalie expressway[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
askari wa wapi huyu?Tuvuruge mada kidogoView attachment 1696011
JwtzTuvuruge mada kidogoView attachment 1696011
This is Tz Bro, alafu unaambiwa hapo chuma kiko on tena left hand[emoji92][emoji92][emoji92]askari wa wapi huyu?
Wapo wengi tu, huyo Bashe anatokea Tabora.
Maduka ya kuuza uzi wa dera[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji205][emoji85][emoji118]View attachment 1695931
Hatunaga ubaguzi sisi,mtu akizaliwa Tanzania anapata stahiki zote za kitanzania,ndio maana huku kuna wakina mungai,kairuki,njoroge n.k washawahi kushika nyadhifa kubwa serikalini mpaka uwaziriLkn wale waliozaliwa kenya huaga mnawakataa