Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Safi Sana kwa hiyo issue ya Mpira tuko juu yenu[emoji846]nyie mko poa kwenye rugby na mbio sisi Mpira tuko level nyingine [emoji846]
Mko juu wapi kimpira nyie zaidi ya hype tu, sisi hku sera ya soka mbovu, uwekezaji mbovu!!lkn tukikutana huaga tunawadandia
 
Safi Sana kwa hiyo issue ya Mpira tuko juu yenu[emoji846]nyie mko poa kwenye rugby na mbio sisi Mpira tuko level nyingine [emoji846]
Alafu ukumbuke sisi sehemu tukiwekeza huaga tuna aim mbali sana wala sio unajiita mkali sector flani wakati hata afrika huongozi
 
Jersey ya wananchi iko on fire
 
Hizi timu hapa hamziwezi kabisa, wacha Simba na Yanga[emoji116][emoji116]

Azam fc
Namungo fc
Ihefu
Mtibwa sugar
Kagera sugar
Tz prisons
Hatuziwezi kivipi, manake km ni kisoka hata kariobangi anajipigia tu wote hao
 
Japokuwa mimi ni fan wa yanga,lakini ngoja niwaeleshe wakunya
Mrembo komora kwa mujibu CAF jezi ya simba sc ndo jezi bora barani africa,elewa sio east bali africa yoote,gor mahia hata haijulikani ilipo
 
Attachments

  • 2664097_Screen_Shot_2021-01-11_at_2.42.16_PM.png
    120.5 KB · Views: 18
Mko juu wapi kimpira nyie zaidi ya hype tu, sisi hku sera ya soka mbovu, uwekezaji mbovu!!lkn tukikutana huaga tunawadandia
Tuko juu maanake tuna team inawakilisha eastafrica kwenye club Bora Africa, teams zetu zinawalipa wachezaji on time,Wana gyms na training centres modern transport buses🙂Wana support kutoka ndani na nje ya nchi nipe team ambayo Ina pata support apart from mathare United ya Bob Munroe 🙂
 
Tumerudi pale pale pa uwekezaji mbovu huku kwetu, lkn likija swala la kuchapa dimba wenzetu wala hamtugusi
 
Japokuwa mimi ni fan wa yanga,lakini ngoja niwaeleshe wakunya
Mrembo komora kwa mujibu CAF jezi ya simba sc ndo jezi bora barani africa,elewa sio east bali africa yoote,gor mahia hata haijulikani ilipo
Kwhyo ya yanga sio nzuri tena kw upande hko kwenu imeshindwa na ya simba..

Anyway hapa tunaongelea quality, uzi mzuri utaujua tu ndugu zanguni.. tatizo hamtaki kulielewa hilo km jezi zenu kanjanja
 
Kwhyo ya yanga sio nzuri tena kw upande hko kwenu imeshindwa na ya simba..

Anyway hapa tunaongelea quality, uzi mzuri utaujua tu ndugu zanguni.. tatizo hamtaki kulielewa hilo km jezi zenu kanjanja
Simba wenyewe wanakwambia uzi wa Yanga mzuri, usitishwe na statistics za kiafrika huwa hawaangalii uzuri bali wanaangalia performance ya team ndiyo wanakuja na vi statistics vyao uchwara, huu uzi huwezi fananisha na wa Simba huu macho kila mtu anayo [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…