Aafu kusengenya huwa sifanyi upuzi wa hivo jirani yangu🙂Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
Halafu mbona hizo NGOs zinakupa wewe kazi. Kwani hakuna Wakenya wanaoweza kufanya kazi hio? Siulizi kwa ubaya, I am just curious my friend.Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
Haina Noma bro ruksa kuuliza,kwa sahivi nipo kitengo cha wakimbizi hususan wakutoka,burundi na Congo ambao issue zao ni sensitive na wameomba niwe kama case worker wao 🙂nimekua nao tangu wakiwa kambi ya wakimbizi eneo flani tanzania 🙂na NGO ambayo nlianza kama volunteer mpaka kunipa contract it's international na hawana boundaries wala borders ukiwa mchapa kazi unafaidi tu🙂tupo team ya watu kadhaa kutoka chad, Niger, Sudan,Mali na Benin kila mtu na task yake🙂Halafu mbona hizo NGOs zinakupa wewe kazi. Kwani hakuna Wakenya wanaoweza kufanya kazi hio? Siulizi kwa ubaya, I am just curious my friend.
Unauliza ili iweje wewe jibu swali🤣👇👇Mzee bado upo Nairobi?
V
Tupe update ya new bus park karibu na Uhuru park imefikia wapi?
Asante. Wewe endelea kuchapa kazi kwenye fani yako bro. Kila la kheri.Haina Noma bro ruksa kuuliza,kwa sahivi nipo kitengo cha wakimbizi hususan wakutoka,burundi na Congo ambao issue zao ni sensitive na wameomba niwe kama case worker wao 🙂nimekua nao tangu wakiwa kambi ya wakimbizi eneo flani tanzania 🙂na NGO ambayo nlianza kama volunteer mpaka kunipa contract it's international na hawana boundaries wala borders ukiwa mchapa kazi unafaidi tu🙂tupo team ya watu kadhaa kutoka chad, Niger, Sudan,Mali na Benin kila mtu na task yake🙂
Mbona usifanye kazi bongo kwenu? Alafu wee mwenyewe umetoka Dar alafu useme Nairobi ina miundo mbinu mbovu?Nakuja kwa ajili ya kikazi bro siji kukaa wala kushangaa and I don't hate Nairobi nachukia miundo mbinu tu🙂
You speak as if you come from Geneva. 🤣 🤣Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?🙂kuhusu wewe kuni host sina mpango huo🙂nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote 🙂
Heheheheee na usijaribu kukubali mualiko wa mkenya yyte wa humu mana wana roho mby sn wakikujua ujue umekwisha bro.Kweli mnamatatizo kwa hiyo umezira?[emoji846]kuhusu wewe kuni host sina mpango huo[emoji846]nina plans zangu binasfsi sehemu ntakapo fikia na kuishia kazi ina gharamia Mambo yote [emoji846]
Hampendi ukweli [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mbona usifanye kazi bongo kwenu? Alafu wee mwenyewe umetoka Dar alafu useme Nairobi ina miundo mbinu mbovu?
Ahsante jirani hapa tunapeana chalenge tu Ila nje kila mtu ana taaluma yake maalum najua humu ndani kuna professors, architects, doctors,developers, teachers, businessmen, phycologists, accountants drivers, engineers,na wanajasiriamali wote etc etcAsante. Wewe endelea kuchapa kazi kwenye fani yako bro. Kila la kheri.
Kazi Popote mkuu mbona wachina wasifanye kazi kwao waje afrika?🙂alafu siwezi nikajipangia Niko flexible popote pale napiga kazi,mfano nimekua west afrika specifically Togo nimefika Libya yote kwa ajili ya kazi🙂Mbona usifanye kazi bongo kwenu? Alafu wee mwenyewe umetoka Dar alafu useme Nairobi ina miundo mbinu mbovu?
😀😀😀😀Heheheheee na usijaribu kukubali mualiko wa mkenya yyte wa humu mana wana roho mby sn wakikujua ujue umekwisha bro.
Hiyo picha ya juu wakumbusheni UDSM wafanye renovation ya hiyo hostel inachafua skylineMore of mbeya [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji3545][emoji3545]View attachment 1691647View attachment 1691649
Sijakuelewa.Hiyo picha ya juu wakumbusheni UDSM wafanye renovation ya hiyo hostel inachafua skyline
Roho mbaya ya nini? Kwani ninaweza kumfanya nini rafiki yangu Shebby01? Kwani naweza kumroga?Heheheheee na usijaribu kukubali mualiko wa mkenya yyte wa humu mana wana roho mby sn wakikujua ujue umekwisha bro.
Wewe tony co mkenya Og nshawahi kukuambia, ila wakenya wenzako nadhani unawajuwa roho zao.Roho mbaya ya nini? Kwani ninaweza kumfanya nini rafiki yangu Shebby01? Kwani naweza kumroga?
Mimi mwenyewe napenda kutembea na kuzunguka kote kote na nimehostiwa na strangers wengi sana na najua umuhimu wa ukarimu. Kwanza waafrika ni watu wakarimu sana.
Libya ogopa mzee. Waafrika wanafanywa kuwa slaves huko.Kazi Popote mkuu mbona wachina wasifanye kazi kwao waje afrika?🙂alafu siwezi nikajipangia Niko flexible popote pale napiga kazi,mfano nimekua west afrika specifically Togo nimefika Libya yote kwa ajili ya kazi🙂
Hiyo picha ya juu wakumbusheni UDSM wafanye renovation ya hiyo hostel inachafua skyline
Consumption of 1,177 MW. Tanzania ya viwanda.ni mwendo wa viwanda tu..
hiv viwanda vikiwa na consistency ya uzalishaji wa bidhaa au huduma na kuendelea kukua, baadae Tanzania itakuwa ni level nyingine View attachment 1694082