Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So hutaki ukweli au πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
your levels with aerial evidence ni ya kipekee ukanda huu, facts kwa ground dont lieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,
 
Na real estate maana yake nn hebu nifundishe wewe mjuaji 🀣🀣🀣🀣
Shida yako ni kwamba ulazmishe dar iwe na slum wakat hakuna 😁😁😁
Real estate is a general term bongolala. Hapa tunaongea kuhusu apartments, not office buildings japo zote ni real estate. Mbona unalazimisha usiku iwe mchana?
 
your levels with aerial evidence ni ya kipekee ukanda huu, facts kwa ground dont lieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ,
Mm nimekuuliza swali jepesi kwamba wale foreigners wanaishi wapi na ndio wameshika kazi zenu??? Sasa ukiambia 70% mko munaishi maisha ya nguruwe unakataa nn hapo
 
Real estate is a general term bongolala. Hapa tunaongea kuhusu apartments, not office buildings japo zote ni real estate. Mbona unalazimisha usiku iwe mchana?
Ndio jibu lake hilo 🀣🀣🀣 kwamba real estate ni general term yani ushamaliza hapo uhahahha shida kuu ni kwamba ulazmishe dar kuna slum haiwezekani hata ulie ucheke
 
Ndo hiyo pipeline ulisema haina manjia angalia ujue ilishabadilika kutambo you people are living in the past hata kibera sasa ina njia nzuri sana na ilisafishwa na NYS
Leta picha ya Kibera mpya [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ndio jibu lake hilo 🀣🀣🀣 kwamba real estate ni general term yani ushamaliza hapo
So just because real estate encompasses both office buildings and apartments inamaanisha office buildings zianze kuitwa apartments??
Wewe kweli mwehu
 
So just because real estate encompasses both office buildings and apartments inamaanisha office buildings zianze kuitwa apartments??
Wewe kweli mwehu
Tukianza na real estate tuko ahead of u by 3b usd
tukirudi kwenye umiliki wa nyumba dar iko ahead of nai by far
Tukirudi kwenye land owning dar iko ahead of u by far hapo tunashindana nn 🀣🀣🀣
 
Bado tunashindana tu 🀣🀣🀣🀣🀣 tukiwaambia ukweli wanakasirika
 
Twende tanzania πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Mm nimekuuliza swali jepesi kwamba wale foreigners wanaishi wapi na ndio wameshika kazi zenu??? Sasa ukiambia 70% mko munaishi maisha ya nguruwe unakataa nn hapo
so with Eastlands having 60% ya Nai population., unaeka wapi hao 70%., Kibera iko Southlands., kuja pole pole mjanja πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚., facts vs fiction, tunaumbua reports za NGOs uchwara.,
Eastlands hii hapa..,

Kibera unayo ipenda hii hapa;.,

Tukianza na real estate tuko ahead of u by 3b usd
tukirudi kwenye umiliki wa nyumba dar iko ahead of nai by far
Tukirudi kwenye land owning dar iko ahead of u by far hapo tunashindana nn 🀣🀣🀣
Acha tu ninyamaze. Endelea kupost office buildings na kuziita apartments ujifariji nazo
 
Acha tu ninyamaze. Endelea kupost office buildings na kuziita apartments ujifariji nazo
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 so ukisema real estate maana yake appartments hakuna au??
 
So unanikasirikia mm au πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Na hao foreigners walioshika kazi zenu wanaishi wapi nataka unijibu swali langu kiroho safi 😁😁😁
 
Bado tunashindana tu 🀣🀣🀣🀣🀣 tukiwaambia ukweli wanakasirika View attachment 1693315View attachment 1693316
Hapa niliwaumbua wazi wazi yaani umekosa jibu kamweeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bro uko desperate sana!! tulia tu ukweli ukutese roho, itabidi umezoea utapona tu, hautakufaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 so ukisema real estate maana yake appartments hakuna au??
Of course ziko na ni kama ile uliyoleta πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…