Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Basi utazunguka umuhumu hahahahaaa, mzee wa apartments [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Na nyinyi muanze kupanga zile dream houses zenu. Na msisahau kutumia bati zizizoliwa na rust [emoji23] [emoji23]
hili nalo ni swala la miaka 3 tu,story itabadilika huku.

hizo shanties unazoziona magomeni,vingunguti na mbagala zintoweka kwa kasi ya mwanga.
 
hili nalo ni swala la miaka 3 tu,story itabadilika huku.

hizo shanties unazoziona magomeni,vingunguti na mbagala zintoweka kwa kasi ya mwanga.
Ndugu mbona usiwe mkweli? Mbona zimetapakaa tu kila mahali save for the rich neighborhoods?
 
Ndugu mbona usiwe mkweli? Mbona zimetapakaa tu kila mahali save for the rich neighborhoods?
dsm ni jiji la ujamaa,sio ajabu kukutana na nyumba ya kawaida kabisa masaki,mbweni,sala sala,mbezi beach.
au kukutana na nyumba kali hayo maeneo niliyokuandikia hayana mpangilio.
 
Stop living a lie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…