babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Wewe ndio ulikuwa unatudanganya humu kuwa mmeanza kuunga mitungi ya changaa na umeme?Maneno tu hata juzi our special forces that have been training in Britain walikuja and they already captured 3 masterminds
Ruto katoa contract kwa private intelligence unit na private protection units kutoka sehemu mbali mbali. Hategemia sana ulinzi wa serikali. Kosa ndio linaanzia hapo kwa ka nchi kadogo cha hovyo kurasimisha haya makampuni ya kibinafsi kufanya kazi sensitive kama hizo.
😂 😂 😂 bongolala, ungejua tu vile napenda unavyoumia!! Picha nilizoleta ni za mitaa za kawaida sana kule Eastelands, where the majority of Nairobians live na zilikuwa za sehemu mbili tu: Donholm na Komarock estates. Hizi si mitaa za wenye hela. These are Middle income areas. Ukitaka mitaa za wenye hela sema nikuletee urembeshe macho 😂Zimepangika ziko wapi, ukibanwa kdg tu unakimbilia apartments hususan visehemu vichache wanavyoishi wenye Kenya yao while majority of you are living here [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1692565View attachment 1692566View attachment 1692567View attachment 1692568View attachment 1692569View attachment 1692571
This one, Ranger Strike Force, formed in 2017 has completed training in Jordan.Wanajua hii squad kwale?
Kuna siku hujaleta apartments humu hahahahaaa kitu umebaki nacho ni apartments wkt kwetu zipo na zinazd kujengwa zingine na usisahau we are ahead of you as far as the term apartment is concerned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] bongolala, ungejua tu vile napenda unavyoumia!! Picha nilizoleta ni za mitaa za kawaida sana kule Eastelands, where the majority of Nairobians live na zilikuwa za sehemu mbili tu: Donholm na Komarock estates. Hizi si mitaa za wenye hela. These are Middle income areas. Ukitaka mitaa za wenye hela sema nikuletee urembeshe macho [emoji23]
Hizo picha ni za kitambo na hiyo picha ingine si kenya tafuta kibera ilijengwa hakuna huo upuzi sikuhiziKenya nzima ni uozo kushoto kulia, unaleta vipicha viwili vitatu mnavyopiga ktk angle fulani mnaacha maisha yenu halisi [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3]View attachment 1692575View attachment 1692576View attachment 1692577View attachment 1692578
This a huge lie and you knowKuna siku hujaleta apartments humu hahahahaaa kitu umebaki nacho ni apartments wkt kwetu zipo na zinazd kujengwa zingine na usisahau we are ahead of you as far as the term apartment is concerned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣🤣
This one, Ranger Strike Force, formed in 2017 has completed training in Jordan.
View attachment 1692580View attachment 1692581
View attachment 1692582View attachment 1692583View attachment 1692584
Huwa nacheka sn nikiona maigizo ya KDF [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]We are about tp forget Recce Squad
View attachment 1692585
Hahahahaa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]Hizo picha ni za kitambo na hiyo picha ingine si kenya tafuta kibera ilijengwa hakuna huo upuzi sikuhizi
Jamani huu nao ni mtaa?Zimepangika ziko wapi, ukibanwa kdg tu unakimbilia apartments hususan visehemu vichache wanavyoishi wenye Kenya yao while majority of you are living here [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1692565View attachment 1692566View attachment 1692567View attachment 1692568View attachment 1692569View attachment 1692571
Oh please. Wewe ni mgumu kusoma na kuelewa?Hapa chini mahali nimehighlight na rangi nyekundu wewe umesema kwamba tukija kwenye cooling matumizi ya umeme ni 10% kisha ukasema kwamba hakuna kitu muhimu kama gas. Hio ni kumaanisha kwamba gas ni 90%. Sasa leta evidence ya hio
Jamaa walibugi sana hapo yani. Ita wacost big time. Na vile wanapenda kitu kidogo bhas mambo yanajiendea tu hovyo hovyo.Haha [emoji38]..Kenya wanapenda kuiga wazungu sana
Asee kama kazi inafanywa hapa kijijini mtandao unakamata balaa alafu umeme kila nyumba.View attachment 1692607
Wewe bongolala kazi yako ni kulialia tu kama mbwa koko. Tukileta picha za the greener sides of Nairobi, unakerwa na kusema Nairobi ni misitu tu na kwamba haijajengeka. Tukiletaa sehemu ziko na density ya juu unaanza kulalama eti kazi ni kuleta tu apartments. Sasa unataka tulete picha za dreamhouses wakati sisi hatuna huo mfumo? 😂Kuna siku hujaleta apartments humu hahahahaaa kitu umebaki nacho ni apartments wkt kwetu zipo na zinazd kujengwa zingine na usisahau we are ahead of you as far as the term apartment is concerned [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mbona tanzania wanasahau wana slum zao tena mbovu heri kibera kuna stima na tarmaked roadsJamani huu nao ni mtaa?
Na nyinyi muanze kupanga zile dream houses zenu. Na msisahau kutumia bati zizizoliwa na rust 😂 😂slums zimepangika[emoji16][emoji16].