Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya have more groups of elite squads than I thought. I have never seen these two.

This one was spotted yesterday guarding Ruto


These ones have been spotted today.

 
wacha uhuni baba! hayo ni matatizo ya wahusika kushindwa kufanya settings ilitakiwa isome Tshs! [emoji1787] [emoji1787] ! hamna castle little ya $1500! Ingekuwa exotic champagne sawa!
Niliandika hii maneno ikabidi niifute tu...kumbe sio mimi peke yangu ndio nimenotice kuwa aliyefanyia setting hiyo mashine alisahau kubadilisha $ kuwa tsh [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo lako tony unataka kutengeneza miundombinu baada ya uwekezaji ambapo huo ni ubahatisaji. Sisi tunaandaa miundomibinu kwa aajili ya uwekezaji but kuikubwa zaidi uwekezaji tunaoulenga hatutautafuta kwatochi bali upo unasubiri wawekezaji, hivi unandani bandari mpya na airpots za zanzibar na bara zimekuja kibahatibahati? hivi sgr ya dar to isaka then kigoma na mtwara to mbambabay + migodi inayoanzishwa ni vitu vya mchezomchezo? bila kusahau BRT inaenda kutumia umeme + tram ya Dodoma. Kwa plan iliyopo mezani 5000MW haitutoshi
 
Niliandika hii maneno ikabidi niifute tu...kumbe sio mimi peke yangu ndio nimenotice kuwa aliyefanyia setting hiyo mashine alisahau kubadilisha $ kuwa tsh [emoji23][emoji23][emoji23]
hata kwa $10 castle lite sinunui!
 
Sio Nairobi nzima ni baadhi tu ya maeneo especially kwa matajiri [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
It is like you don't know anything about Nairobi apart from narratives from your illiterate "We Olisikia Wapi" politicians
 
Duh hebu nioneshe niliposema wanatumia gas kwa 90%
Hapa chini mahali nimehighlight na rangi nyekundu wewe umesema kwamba tukija kwenye cooling matumizi ya umeme ni 10% kisha ukasema kwamba hakuna kitu muhimu kama gas. Hio ni kumaanisha kwamba gas ni 90%. Sasa leta evidence ya hio


 
Sometime back Alshabaab used to bomb us in the Middle of Nairobi, Mombasa, Garissa etc, have you heard of such in recent time??? Alshabaab have been reduced to a disfunctional gorilla unit in Somalia, sometimes shooting unarmed Kenyans at the border with Somalia
 
So hizo sehemu ambazo hao wanamgambo wanazivamia haziko kenya?
Au kenya ni hayo maeneo machache uliyo yataja?
Vipi kuhusu sehemu za kenya ambazo raia wanamiliki silaha za moto kwa ajili ya kujilinda?
Bandits?
Kuna sehemu pia walimu wanaomba kupewa silaha ili wajilinde nazo? Au hiyo sehemu haipo kenya!
Kazi ya jeshi lenu na hizo vikosi ni nini hasa?

Ooh nilitaka kusahau na hii...wanamgambo pia wameanza kukusanya kodi ndani ya kenya [emoji23][emoji23][emoji23]


 
Huo uvumi wa Shabab kukusanya kodi Kenya ni uongo. Hii ni kauli ya mtu na wala hajatoa evidence kusupport his claim.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…