Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,714
Wana efficient heating systems na hata maghorofa Africa siku hizi hayatumii direct heating bali heat pumps for cooling! Ni kitu ambacho sijui kama unaweza ukaelewa usipokuwa mtu wa engineering ila hutumia principles za geothermal au kwa urahisi fridge (properties za air au water at atmospheric pressure)! Based on Ground soil properties zinawezesha kuvuna heat!Sijakuelewa. Sijui unapinga nini hapo. Sema unapinga nini kwa kauli niliyotoa ili nikuelewe
Zinafanyaje kazi?Halafu siongei tu kama fala. Hizi heating systems na cooling systems nimeziona kwa macho. Kwa hivyo siongei tu kama mtu mjinga ambaye hajui anachosema. Kama unapinga kauli sema unapinga wapi nikuletee facts hapa. Unanijua mimi siongei kama siwezi back-up nilichosema.
Hebu chunguza nyumbani kwako. Unajua katika vifaa vyote ambavyo unamiliki nyumbani, vifaa vinavyonyonya umeme kama uji ni vile vinavyoheat jambo fulani. Kwa mfano kuna heater ya maji ambayo huwa inakula umeme bila mchezo. Hata kale kaheater kadogo ambako unatumbukiza ndani ya jug ya maji pia kana around 1,000 watts. Pasi nayo inatumia hata 2,000 watts kulingana na pasi unayotumia. So unaweza kuimagine mashine ambayo inacool hewa iliyo ndani ya nyumba yako wakati wa joto hadi hewa hiyo iwe cool itatumia watts ngapi?Sikujua kama % kubwa ya umeme inaenda uko kwa wazungu..but it makes sense maana hapa nyumbani ukiwasha heater tu bili haieleweki heater unakut ina watts 900 hadi 1200 nyingne ..hio ni point pia ..but tutafika stage hizo hasa kwa huku Dar muhimu kuwa na A/c kipind flan
Wewe ni engineer mimi sio engineer. Sasa vipi unataka nikuelezee jinsi zinavyofanya kazi? Just because niliziona kwa macho na zipo kwa kila room ya kila jengo haimaanishi kwamba ninaweza kukuelezea the physics behind their operation.Zinafanyaje kazi?
Hapa tunakubaliana. Kwa hivyo ulikuwa unapinga nini?Wana efficient heating systems na hata maghorofa Africa siku hizi hayatumii direct heating bali heat pumps for cooling! Ni kitu ambacho sijui kama unaweza ukaelewa usipokuwa mtu wa engineering ila hutumia principles za geothermal au kwa urahisi fridge (properties za air au water at atmospheric pressure)! Based on Ground soil properties zinawezesha kuvuna heat!
Mbona wazungu wanatafuta za malaria wakati hawana.Nyinyi hamna covid sasa dawa yenyewe ni ya nini?
Bado wanakwambia wao ndio wanaongoza kwa Internet penetration [emoji3][emoji3]Wakenya mnatukimbiza kwa matumizi ya itel. Hizi takwimu zinatuonesha namna ya maisha ya mtu mmoja mmoja kati ya Kenya na Tanzania
View attachment 1691871
Lipumba anataka katiba mpya jameni.
Facebook hiyo mkuuHahaha hii nayo umeitoa wapi? Wacha nikaisearch kwenye youtube.
Geza Ulole usituombee mabaya
He heeeeLipumba anataka katiba mpya jameni.
Kwamba hali si mbaya hivyo wameweza kujikwamua na renewable heat efficient systems kwenye majengo! Siku hizi ni nadra sana kukuta majengo marefu au hata halls zikitumia heater za umeme!Hapa tunakubaliana. Kwa hivyo ulikuwa unapinga nini?
Green places au majengo hayaonekani 🤣🤣Don't I just love green spaces!
View attachment 1691621
Hio ni kweli only in some countries or some buildings ila sio wote wanaotumia efficient space heating and cooling systems. Wengine bado wanatumia inefficient systems zinazonyonya umeme mwingi. Globally space heating and cooling bado inaconsume alot of power in some countries with inefficient systemsKwamba hali si mbaya hivyo wameweza kujikwamua na renewable heat efficient systems kwenye majengo! Siku hizi ni nadra sana kukuta majengo marefu au hata halls zikitumia heater za umeme!
EU27 r doing pretty good!Hio ni kweli only in some countries or some buildings ila sio wote wanaotumia efficient space heating and cooling systems. Wengine bado wanatumia inefficient systems zinazonyonya umeme mwingi. Globally space heating and cooling bado inaconsume alot of power in some countries with inefficient systems
View attachment 1691885
Hii yote umeandika kwa mbwembwe kwa sababu wanajenga supermarket mpya? Hahaha. Mna vituko sana.Leo nilikuwa mawasiliano, nikasema ngoja niende zangu ubungo kidgo kumtumia dogo mzigo, nikapata wazo ngoja niende na miguu, ile mitaa sijapita muda, meter 20 mbele Baada ya kutoka stend ya mawasiliano nikaona watu wanakata Kona kushoto kwa miguu, ikabd niulize hii njia inaenda wapi?, nikajibiwa hii njia unatokea ubungo hapo
Si ndo nikapita na mimi, kumbe ile njia inapita mto sinza pale na ni concrete mwanzo mwisho, ajabu ile njia wamejenga na brt road na washaandaa kabsa ile concrete structure ya stendi ya brt, nikajiuliza hii Ni phase gani Tena?
Ubungo mule ndani washaanza kubomoa, nikauliza wadau humu wanabomoa wanataka kujenga nini, wakaniambia wanataka kujenga supermarket kubwa sana pale
Note: Kuna mizigo saiv inaenda kimya kimya, majirani jiandaeni
Hiyo supermarket itakuwa the largest in the region!Hii yote umeandika kwa mbwembwe kwa sababu wanajenga supermarket mpya? Hahaha. Mna vituko sana.