Umesahau lile jiji lao limejaa midreamhoyses kila kona? Huko greenspaces ni Kama mbingu na ardhi.Jamaa anashangaa kuona shemu pamepandwa miti mingi tena ya sampuli moja wala sio vichaka na mikoko
Ukiona mtu ni mwepesi wa kutema matusi bila sababu, ujue ako na matatizo ya kiakili. Such people suffer from inferiority complex and emotional imbalances. His mind and heart are constantly at war with each other. Huenda ni anxiety or depression inamsumbua. He's having a hard time controlling his emotions meaning he needs to learn new coping strategiesCcm anaposhindwa na hoja, hukimbilia matusi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Akina uringa sio[emoji1787][emoji1787]
Sasa in the whole of Kenya hamna factories zina-produce umeme wake utajilinganisha vp na Tanzania?Mumeamua kukimbia ndio maana bado mnaconsume 1,177 MW miaka 50 baada ya uhuru?
CC: Tony254 JPM hata kwenye umeme ni Nyuka!!
Kumbuka pia kuna migodi inatumia umeme wa mafuta ndio imeanza kuunganishwa kwenye gridi.Mpango huo upo na najua upo na vinajengwa i just said nguvu iongezeke ili hyo miradi ikamilike (lrt na brts) mapema na sio kuifanya pole pole na hela inaenda kujenga plants
maana project tulizo nazo zitazalisha 2400mw lets say zote zikiwa zimeisaha by 2025 hyo power inaweza kutusukma hata by 5 years na bado tukauza ndo tuanze kujenga hizo 560mw .Geza what will change rapidly over next 5 yrs itachofanya to consume 2400mw zote ? Hapo tutakuwa tuna 4000mw lets say migodi 5 na refinery tano na SGR zitumie 1500mw tutakuwa na surplus ya 1GW
😂😂😂😂😂😂 nyan'gauzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz nawasubiri kwa hamu mje kujambajamba humu
Mkuu nafikiri njia rahisi ni hii, kama huna Acc YouTube fungua then zirushe kule inakuwa rahisi kuzileta hapa from YouTubedaraja la sgr kilosa
you can see the train inapita chini ya daraja mwanzoni mwa mdomo wa tunnel .. also the river
View attachment 1691588
View attachment 1691589View attachment 1691590View attachment 1691591View attachment 1691592View attachment 1691593
i wish i could know how to upload videos here from my phone gallery
Wanatamani sana kwao wangelipanda miti km hku lkn tatizo walifeli kitamboUmesahau lile jiji lao limejaa midreamhoyses kila kona? Huko greenspaces ni Kama mbingu na ardhi.
Mkuu nafikiri njia rahisi ni hii, kama huna Acc YouTube fungua then zirushe kule inakuwa rahisi kuzileta hapa from YouTube
Kwa hivyo JPM anatunyuka na 1,177 MW? Hahaha
Ninajua capacity ya megawatt. Megawatt ni 1,000,000 watts. 1 Megawatt inaweza kuwasha bulbs za 50 watts 20,000. Au inaweza kuwasha TV za 200 watts 5,000.Nairobi pekee inatumia megawatts ngap za umeme?? Au ukishindwa hilo je kwa kukadiria pale Airport ya Jomo inatumia umeme kiasi gani?? Na kuuliza aya maswali kwakuwa nimesoma comments zako naona kama hauna uelewa kwenye swala la umeme inaonekana haujui hata capacity ya megawatts.
nyuka!!Ninajua capacity ya megawatt. Megawatt ni 1,000,000 watts. 1 Megawatt inaweza kuwasha bulbs za 50 watts 20,000. Au inaweza kuwasha TV za 200 watts 5,000.
CC: Tony254 naona unyoko wa ukabila ukiendelea! Ikumbukwe JPM hanaga muda kusuluhisha unyoko wa wazee wa Ukabila!Bado kidogo tu mtaanza chinjana...
https://www.facebook.com/
Hahaha hii nayo umeitoa wapi? Wacha nikaisearch kwenye youtube.Bado kidogo tu mtaanza chinjana...
https://www.facebook.com/