1. Ruto is not the incoming government.
MY TAKE
aisee Sonko anamwaga mboga anadai alivuta sigara kubwa na mlevi Uhuru!
CC: Tony254 kwani sigara kubwa hukaaje? Lamu port itaisha kweli? Na huyu Sonko ni swaiba wa Ruto sio? The incoming government?
Kama viwanda vyenu vikubwa vinatumia gas basi mbona mnajenga white elephant Julius Nyerere hydropower? Yaani baada ya miaka hamsini bado mnatumia 1,500 MW ya umeme halafu mnakimbia kujenga bwawa la 2000 MW? Mna kichaa nyinyi. Hio plant itakaa idle kwa miaka ishirini. White elephant hio. Najua mtaitetea tu ila nyinyi wenyewe mnajua ukweli kwamba hio 2,000 MW ni nyingi mno. Hata mkiexport huo umeme bado itabakia maana majirani wenu wengi wana surplus electricity. Kenya na Uganda zina produce surplus electricity. Hata mkiexport umeme SADC, SA tu ndio ina hamu ya umeme na ndio ina uwezo wa kifedha wa kununua umeme kwa wingi and so mna very few options. Huu umeme msishagae ukikaa idle na nyinyi kuharibu tax payers money.Viwanda vyote vikubwa Tanzania vinatumia gas
kenya ni zaidi ya genge la wahuni! hahahahahahahhahahaha, ndiyo maana wamekuwa manamba na wanafurahia hali hii pamoja na ujira mdogo
MY TAKE
aisee Sonko anamwaga mboga anadai alivuta sigara kubwa na mlevi Uhuru!
CC: Tony254 kwani sigara kubwa hukaaje? Lamu port itaisha kweli? Na huyu Sonko ni swaiba wa Ruto sio? The incoming government?
si mnamvunjia heshima President wetu na accomplishment yake wakati kesho yenu hamuijui! Dalili mbaya huonekana Asubuhi, mnatupiana mawe tayari! lazima mtoane ngeu 2022!1. Ruto is not the incoming government.
2.Lamu port kuisha au kutoisha haihusiani na hii story
3. Jana ulikuwa unaomba Manyang'au wapigane ili Tanzania itupite. Mbona mnaweza kutupita tu bila sisi kupigana? Kwa speed mnayokuja nayo mnaweza kutupita tu ikiwa mtaendelea nayo na sio lazima utuombee mabaya, sio lazima utuombee vifo.
white elephant? kwahiyo Tanesco haipaswi kuendelea kufanya biashara na kuzalisha na kusambaza umeme mwingi nafuu? alternative power? Unajua kuhusu energy wewe? Ni Majirani wangapi tunaweza kuwauzia pia? nyie Kenya mna surplus lakini expensive power! SADC needs more power! wacha wivu mshikaji, 2022 inakuja, mlevi anafanya tour za kumjibu Sonko!Kama viwanda vyenu vikubwa vinatumia gas basi mbona mnajenga white elephant Julius Nyerere hydropower? Yaani baada ya miaka hamsini bado mnatumia 1,500 MW ya umeme halafu mnakimbia kujenga bwawa la 2000 MW? Mna kichaa nyinyi. Hio plant itakaa idle kwa miaka ishirini. White elephant hio. Najua mtaitetea tu ila nyinyi wenyewe mnajua ukweli kwamba hio 2,000 MW ni nyingi mno. Hata mkiexport huo umeme bado itabakia maana majirani wenu wengi wana surplus electricity. Kenya na Uganda zina produce surplus electricity. Hata mkiexport umeme SADC, SA tu ndio ina hamu ya umeme na ndio ina uwezo wa kifedha wa kununua umeme kwa wingi and so mna very few options. Huu umeme msishagae ukikaa idle na nyinyi kuharibu tax payers money.
Halafu hii govt policy ya kufanya big industries zitumie gas inacontradict govt policy ya kujenga dams. Serikali ambayo inajenga dams ni serikali ambayo ina mahitaji makubwa ya umeme, lakini serikali ambayo haijui inachofanya ndio inayoweza kujenga dams and at the same time inapunguza matumizi ya umeme kwa kufanya big industries zitumie gas. Hizi policies mbili are self-contradictory. Hio pesa ya dam mngeipeleka mahali pengine maana nyinyi hamna matumiza makubwa ya umeme hususan ukizingatia kwamba viwanda vyenu vikubwa vinatumia gas.
Cc Tz_one Geza Ulole
joto la jiwe
nyangau hamna shukrani, pamoja na madhaifu yenu mengi kwa Tanzania tumekuwa tunawabeba sana; baada ya vurugu za uchaguzi 2007 miongoni mwa vurugu nyingine ni raisi Kikwete alitumia rasilimali zetu kumtuma Mkapa kuwapatanisaha, Kenya hawa hawa ndiyo waliokuwa wanamlamba miguu na kumnyenyekea Idd Amini wakati anaichokoza Tanzania.1. Ruto is not the incoming government.
2.Lamu port kuisha au kutoisha haihusiani na hii story
3. Jana ulikuwa unaomba Manyang'au wapigane ili Tanzania itupite. Mbona mnaweza kutupita tu bila sisi kupigana? Kwa speed mnayokuja nayo mnaweza kutupita tu ikiwa mtaendelea nayo na sio lazima utuombee mabaya, sio lazima utuombee vifo.
Mitambo ya Symbion haizalishi tena mkataba umeisha!
Huko ndio kufulia hahaha eti mmetutangulia juzi tu, hivi unajua hata kama mlitutangulia tukaja kuvifanya halafu tukawazidi kimoja wapo huko ndio kupitwa, we unabaki na historia tu, tuli.. Tuli..Umekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Madaraja tunayo tangia 80s na tunaongeza, SGR tuliwatanguli[emoji23][emoji23] barabara za juu tuliwatangulia, interchanges tuliwatangulia we hapo unabaki na brt tu[emoji1787][emoji1787]
ISSUE SIYO KUTANGULIA BALI NI KUFIKA WEWE NYANGAUHuko ndio kufulia hahaha eti mmetutangulia juzi tu, hivi unajua hata kama mlitutangulia tukaja kuvifanya halafu tukawazidi kimoja wapo huko ndio kupitwa, we unabaki na historia tu, tuli.. Tuli..
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
sasa unabisha ama?To many different conflicting info.last year nmesoma guardian ...nkipata ntaweka ." consmuptiom ni 1400mw to 1500mw na pdn 1600mw leaving us with 100-200mw surplus na alisema waziri
Kama viwanda vyenu vikubwa vinatumia gas basi mbona mnajenga white elephant Julius Nyerere hydropower? Yaani baada ya miaka hamsini bado mnatumia 1,500 MW ya umeme halafu mnakimbia kujenga bwawa la 2000 MW? Mna kichaa nyinyi. Hio plant itakaa idle kwa miaka ishirini. White elephant hio. Najua mtaitetea tu ila nyinyi wenyewe mnajua ukweli kwamba hio 2,000 MW ni nyingi mno. Hata mkiexport huo umeme bado itabakia maana majirani wenu wengi wana surplus electricity. Kenya na Uganda zina produce surplus electricity. Hata mkiexport umeme SADC, SA tu ndio ina hamu ya umeme na ndio ina uwezo wa kifedha wa kununua umeme kwa wingi and so mna very few options. Huu umeme msishagae ukikaa idle na nyinyi kuharibu tax payers money.
Halafu hii govt policy ya kufanya big industries zitumie gas inacontradict govt policy ya kujenga dams. Serikali ambayo inajenga dams ni serikali ambayo ina mahitaji makubwa ya umeme, lakini serikali ambayo haijui inachofanya ndio inayoweza kujenga dams and at the same time inapunguza matumizi ya umeme kwa kufanya big industries zitumie gas. Hizi policies mbili are self-contradictory. Hio pesa ya dam mngeipeleka mahali pengine maana nyinyi hamna matumiza makubwa ya umeme hususan ukizingatia kwamba viwanda vyenu vikubwa vinatumia gas.
Cc Tz_one Geza Ulole
joto la jiwe
Inasikitisha Sana mkuu 🙂nyangau hamna shukrani, pamoja na madhaifu yenu mengi kwa Tanzania tumekuwa tunawabeba sana; baada ya vurugu za uchaguzi 2007 miongoni mwa vurugu nyingine ni raisi Kikwete alitumia rasilimali zetu kumtuma Mkapa kuwapatanisaha, Kenya hawa hawa ndiyo waliokuwa wanamlamba miguu na kumnyenyekea Idd Amini wakati anaichokoza Tanzania.
Point yako ni kweli ila TPDC na Tanesco ni indepent organizations wote wana attarct wateja kutokana na hao wateja watachagua kipi..either Gas au grid electricty
Kuhusu ku build more Dams its better to do the project now while the goverment is able than to wait and be like SA with its power probs .kumbuka mkopo wowote haujachukuliwa ..na surplus yetu ni kama 100-200mw .so haitoshi in coming 3-4yrs ...cause right now only 2 plants that are U/C kinyerezi 1 ext 185mw and rusumo 28Mw
Viwanda amabvyo haviko coast bado vinahitaji umeme wa tanesco sio Gas cause ya bomba haliko huko..most viwanda vya north na western vitatumia Grid
SGR yetu itahitaji umeme maybe it might need 100mw-200mw to start with but a fully functional may need hata 500mw -700mw
TPA wanapanua sana ports ..na ports huwa zina consume umeme tho not much ..kuna airports pia zinajengwa kma uyoga ..kuna ku connect mines na Grid ya taifa na hizo ndo biggest power consumers
Tho it might take up to 10years to see that we need to build other power plants after completion of JNHPP
Ingekua usemi wangu tungepumzika kujenga power plants kwa miaka 3-5 baada ya JNHpp na tuweke nguvu sector nyingne zaidi. Kisha tuone trend inaendaje ila ndo hvyo serikali ishaamua hata kama demand ndgo ..
nmeona kuna mpango wa kujenga another Hydro ya 580MW kusema kweli that will be super surplus na white elephant unless itajengwa kuanzia 2028 iishie 2032 au kama plan yetu ni kuzima Gas plant na kwenda all hydro until ukame utokee
ila Kwa nyerere hydro sio white elephant cause ikiisha umeme wake angalau 1000mw utakuwa una matumizi within a short time 2-3yrs kwenye SGR,Ports ,Industries amabzo zinakuja speed in coming 3-5yrs View attachment 1691397
sasa unabisha ama?
Umeanza upuuzi kwahiyo wewe unajua zaidi ya watu wa nishati waliofanya projections na kuoona umuhimu wa kujenga more hydropwer plants? The target is to have 10,000 MW in the immediate future and sell to East Africa and Sothern Africa through the power pool grid! kwahiyo tumechukua mkopo wa kujenga grid halafu tusiuze umeme?Point yako ni kweli ila TPDC na Tanesco ni indepent organizations wote wana attarct wateja kutokana na hao wateja watachagua kipi..either Gas au grid electricty
Kuhusu ku build more Dams its better to do the project now while the goverment is able than to wait and be like SA with its power probs .kumbuka mkopo wowote haujachukuliwa ..na surplus yetu ni kama 100-200mw .so haitoshi in coming 3-4yrs ...cause right now only 2 plants that are U/C kinyerezi 1 ext 185mw and rusumo 28Mw
Viwanda amabvyo haviko coast bado vinahitaji umeme wa tanesco sio Gas cause ya bomba haliko huko..most viwanda vya north na western vitatumia Grid
SGR yetu itahitaji umeme maybe it might need 100mw-200mw to start with but a fully functional may need hata 500mw -700mw
TPA wanapanua sana ports ..na ports huwa zina consume umeme tho not much ..kuna airports pia zinajengwa kma uyoga ..kuna ku connect mines na Grid ya taifa na hizo ndo biggest power consumers
Tho it might take up to 10years to see that we need to build other power plants after completion of JNHPP
Ingekua usemi wangu tungepumzika kujenga power plants kwa miaka 3-5 baada ya JNHpp na tuweke nguvu sector nyingne zaidi. Kisha tuone trend inaendaje ila ndo hvyo serikali ishaamua hata kama demand ndgo ..
nmeona kuna mpango wa kujenga another Hydro ya 580MW kusema kweli that will be super surplus na white elephant unless itajengwa kuanzia 2028 iishie 2032 au kama plan yetu ni kuzima Gas plant na kwenda all hydro until ukame utokee
ila Kwa nyerere hydro sio white elephant cause ikiisha umeme wake angalau 1000mw utakuwa una matumizi within a short time 2-3yrs kwenye SGR,Ports ,Industries amabzo zinakuja speed in coming 3-5yrs View attachment 1691397
latest report inasema 1565.72 MW na mkataba wa Symbion ulisitishwa sasa kama unaibishia Tanesco wanaosema wanacho-generate wewe ni kiboko! hiyo 1629 MW ni yako wewe!!Sio number kubwa za kubisha ni errors zinaweza kutokea
Umeanza upuuzi kwahiyo wewe unajua zaidi ya watu wa nishati waliofanya projections na kuoona umuhimu wa kujenga more hydropwer plants? The target is to have 10,000 MW in the immediate future and sell to East Africa and Sothern Africa through the power pool grid! kwahiyo tumechukua mkopo wa kujenga grid halafu tusiuze umeme?