The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
SGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?Umekasirika[emoji23][emoji23][emoji23]
Madaraja tunayo tangia 80s na tunaongeza, SGR tuliwatanguli[emoji23][emoji23] barabara za juu tuliwatangulia, interchanges tuliwatangulia we hapo unabaki na brt tu[emoji1787][emoji1787]
Picha iko wapi ss [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji90][emoji90]Ondoka sasa manake nimekutajia vingi[emoji1787][emoji1787]
I can clearly see Kenya is more lit - unless you don't know your map.Hahahahahaaaaaaa[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1690797
Unaumwa ww yn kenya iipite Tz kwenye electrification utakuwa mgonjwa wa kifadulo wewe, haya mambo ya blackout sisi tulishaachana nayo licha ya ukweli kwamba kwa ss tuna vyanzo vingi vya umeme kuliko nchi yoyote EA [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]I can clearly see Kenya is more lit - unless you don't know your map.
View attachment 1690812View attachment 1690813
Na ukihitaji ushahidi wa data mpya huu hapa[emoji116][emoji116]I can clearly see Kenya is more lit - unless you don't know your map.
View attachment 1690812View attachment 1690813
Acha kusikiza propaganda za wanasiasa wa CCM bradhee na ufuate statistics za ukweli.Na ukihitaji ushahidi wa data mpya huu hapa[emoji116][emoji116]
View attachment 1690820Tanzania Leads Africa in Rural Electrification, Says Minister
TANZANIA's 73.4 per cent of the villages are now electrified, making the country excel on the continent with its largest population being able to access reliable and affordable power supply, according to Minister for Energy, Dr Medard Kalemani.allafrica.com
Inauma eehMsalaba like interchange[emoji1787][emoji1787]
Ww na mm nani anayeishi Tz.Acha kusikiza propaganda za wanasiasa wa CCM bradhee na ufuate statistics za ukweli.
Sgr ni sgr tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]SGR ipi, kwa mfano mjukuu wako akikuuliza swali hili utajibu vp?
Mjukuu: Bibi eti treni ya kwnz ya kutumia umeme kwa hapa East Africa ilifanya safari yake kuanzia wapi mpk wapi?
Komora: Aahh unajuwa hakuna kitu kinaitwa treni ya kutumia umeme ila treni ni treni tu mjukuu wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weweee!!mziki wake umekushinda mpka ukaona heri ujifanye kumrekebisha[emoji1787][emoji1787]Thibitisha... Kutokana na mzizi wa neno Thabiti(Ikimaanisha -enye uhakika)
Dhibitisha si neno la kiswahili la kila.siku... japo mzizi wake ambao ni neno Dhibiti (Ikimaanisha zuia) ni neno tunalolitumia sana.
Bado ukweli utabaki pale pale km EA kilifi ilikua haina mpinzani ndio mumepindua meza juzi..juzi? the longest Mkapa bridge ilijengwa kabla ya 2005!
Hizo hapo mkuu,sina uhakika sana na ubora wa camera yangu sometimes inabidi kutulia tunawaachia wakali wa hizi kazi NDINDA na Icho😃😃😃.Picha mkuu, ili tupate updates.