haipo,hata sheria inayolazimisha mtu kuwa mzalendo haipo.Kuna Sheria kwenye katiba inayomkataza mtu kubadilisha ajira kutoka serikalini kwenda kwenye sekta binafsi? Kama ipo nionyeshe Maana siifahamu.
Hahahaha!!ngoja niyatoke[emoji1787][emoji1787]Kuna Sheria kwenye katiba inayomkataza mtu kubadilisha ajira kutoka serikalini kwenda kwenye sekta binafsi? Kama ipo nionyeshe Maana siifahamu.
kwani kuna mtu amedai kuna kosa la jinai kufanya hivyo!!!!Umerudi pale pale ya kwamba viongozi wenu ni wakurupukaji, yani mtu anaongea kimihemko ili rais asikie amuone km jamaa anachapa kazi..
Kisha eti mnajiita nchi huru, hapo kafanya kosa gani la jinai mpka kufikia hko
ndio hakuna haja ya kuwa na wasi wasi.Hili suala liko hivi: Kama Huyo Daktari alifuata kanuni zote za ku-transfer Hana kosa kabisa. Lakini kama aliondoka kinyemela basi kosa analo.
Anyway, hayanihusu ngoja niwaachie muyamue wenyewe..Ni kweli uhuru wa kujimwaga, lakini ni hatari sometimes acha tu
Haipo Sheria kama hiyo kabisa. As a matter of fact, Sheria ya Tanzania inakataza kumfanyisha kazi mtu kwa shuruti! Hoja aliyoitumia Rais ni uzalendo na kuwa kisa alikopa hela serikalini basi kazi yake ni lazima iwe serikalini. Kwani wagonjwa kwenye hospitali binafsi sio watanzania? Na Kwa nini mtu asifate preference yake ya mazingira ya kazi?haipo,hata sheria inayolazimisha mtu kuwa mzalendo haipo.
kwavile maslahi ni kipaumbele,basi wacha tuhame tu.
Olaaa!!yajengeni mimi sio mtanzania, sitaki kukurupuka manake katiba yenu siijui..kwani kuna mtu amedai kuna kosa la jinai kufanya hivyo!!!!
rais ameagiza wachunguzwe.
sijui uoga unatokea wapi!!!
bado sielewi ni kwanini umepanick katika hili.Haipo Sheria kama hiyo kabisa. As a matter of fact, Sheria ya Tanzania inakataza kumfanyisha kazi mtu kwa shuruti! Hoja aliyoitumia Rais ni uzalendo na kuwa kisa alikopa hela serikalini basi kazi yake ni lazima iwe serikalini. Kwani wagonjwa kwenye hospitali binafsi sio watanzania? Na Kwa nini mtu asifate preference yake ya mazingira ya kazi?
uyo dk angekua na hela angesoma private na hio pesa ya serkal angepewa mwingine mwenye uhitajiUdikteta uchwara, acha kumtishia mwenzako kisa kasema ukwel..
Mwani mkopo halipi au kasoma bure, watanzania bana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha maafisa vipenyo mara nyingi wanaonekana kama machizi kumbe ndio wakulungwa wenyewe, yaani ni hatari na nusuAnyway, hayanihusu ngoja niwaachie muyamue wenyewe..
Jamaa wanakutishia nkm wapo ikulu ukicheki si ajabu wengine wapo Buza ni wakulima wa mihogo..
ndio sababu hata mnaongoza kwa rushwa.Olaaa!!yajengeni mimi sio mtanzania, sitaki kukurupuka manake katiba yenu siijui..
Ila km ingelikua kwetu hata bibi yake kijijini asingelithubutu kumfokea achana na viongozi serekalini
unasound ni kama uko period na huna pesa ya alwayschongchung hawa makajamba wasikutishe jf upo huru kusema chochote wala hakuna mahali watakupeleka zaidi ya vitisho tu..
Kwn unafikiria mikopo kw wanavyuo duniani inapatikana tz pekeake, emu inua mikono juu umuombe Muumba wako walau akupe hata percent moja ya ufahamu mana sio kw kuwehuka hko...uyo dk angekua na hela angesoma private na hio pesa ya serkal angepewa mwingine mwenye uhitaji
1)hata ukimwita dikteta uchwara hakukupunguzii shida zako wala za mumeo
2)yeye ndo kashikilia hatma ya maisha yako pamoja na ustawi wa ukoo wenu na vizazi vyenu
3) there's nothing u can do and kama kweli we kidume tumia id yako otherwise we ni muoga aka mbwa koko
Humpeleki popote we ni bwege tu, wasiojulikana hawatishii watu mitandaono we mwehu..unasound ni kama uko period na huna pesa ya always
aliishawahi kusema endapo mtu ana historia ya kusoma shule za gharama,hatakuwa kipaumbele katika kupewa mkopo wa elimu ya juu[emoji38][emoji38][emoji38],tuka panick sana.Hahahaha maafisa vipenyo mara nyingi wanaonekana kama machizi kumbe ndio wakulungwa wenyewe, yaani ni hatari na nusu
Ila hapo kiukweli sio poa hata Magu mwenyewe akikaa akatulia baadae ataona hajasema vizuri
maneno tu,unatishwa na maneno!!!Haipo Sheria kama hiyo kabisa. As a matter of fact, Sheria ya Tanzania inakataza kumfanyisha kazi mtu kwa shuruti! Hoja aliyoitumia Rais ni uzalendo na kuwa kisa alikopa hela serikalini basi kazi yake ni lazima iwe serikalini. Kwani wagonjwa kwenye hospitali binafsi sio watanzania? Na Kwa nini mtu asifate preference yake ya mazingira ya kazi?
Sijapanic Bali nimesikitishwa na hatua ya ghafla na isiyo na misingi ya kisheria ambayo Rais anataka kuichukua. Kumfutia mtu leseni ya udaktari na kuifunga hospitali binafsi aliyohamia...kisa uzalendo? Hili suala haliingii akilini. Na Ndio maana nasema kuwa Rais wetu anafanya mambo mengi mazuri lakini kuna maneno ambayo anaongea haya-reflect nafasi yake kama Kiongozi wa nchi.
Sijapanic Bali nimesikitishwa na hatua ya ghafla na isiyo na misingi ya kisheria ambayo Rais anataka kuichukua. Kumfutia mtu leseni ya udaktari na kuifunga hospitali binafsi aliyohamia...kisa uzalendo? Hili suala haliingii akilini. Na Ndio maana nasema kuwa Rais wetu anafanya mambo mengi mazuri lakini kuna maneno ambayo anaongea haya-reflect nafasi yake kama Kiongozi wa nchi.bado sielewi ni kwanini umepanick katika hili.
vyema ungesubiri hatua kwanza,ndipo tujenge hoja ya jumla.
Kauli km hzo zinatakiwa zitolewe na wauza genge wala sio raisndio sababu hata mnaongoza kwa rushwa.
maana si rais wala gavana anaweza fokea mtu,kila mtu ana ndevu kama kambale.
hoja sio kupelekwa popote,hata jf inawezafungwa kwa muda,ikawa hasara na kwetu wastaarabu.Humpeleki popote we ni bwege tu, wasiojulikana hawatishii watu mitandaono we mwehu..
wewe ni nani wa kuchagua hiki aongee huyu,hiki aongee rais!!!Kauli km hzo zinatakiwa zitolewe na wauza genge wala sio rais