sasa kwanini utumie hiyo projection wakati umesema hampo 52M....?....Sina census data ya Ghana so nimetumia hii projection. Census ndio actual data na hio sina. Kama ningekuwa na census data ya Ghana basi singetumia hio projection.
kweli mnajaribu tuwe wenzenyu lakini hakitowezekana😛😂😂😂, kwa kujitetea nawapa taji!Onesha hilo neno projection.
Si bora anaeagiza tooth pick lakini hafi kwa njaa sasa nani mwenye akili hapo anaekufa na njaa au muagiza toothpick😀😀😀Nyinyi hata toothpick mnaagiza kutoka nje mna elimu gani?
Karibu bibie 🤣🤣🤣🤣 nipo kwa ajili yakoUmekurupuka
Hapana haijawahi kutokea kitu km hii [emoji116][emoji116]Kwani umeme kwenu bado unakatika?
Kwmb tufanane kwenye hili [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]kweli mnajaribu tuwe wenzenyu lakini hakitowezekana😛[emoji23][emoji23][emoji23], kwa kujitetea nawapa taji!
Kwani lazima waandike projection ili iwe projection? Wewe ndio mtu umesoma economics na bado huelewi haya mambo?Onesha hilo neno projection.
Magu anakuambia kuanzia 2021 hataki umeme ukatike, hapo akiwa anaongea hivyo tayari umeme hausumbui kabisa, lkn wenzetu bado wapo huku[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]tunavuta maji kutoka ziwa victoria hadi shinyanga isaka, mkoa ambao haupo top 5 ya mikoa mikubwa Tanzania, lkn nairobi makao makuu ya kenya haina maji
huo ndo utofauti wa Tanzania na Kenya. Suala la Maji na Umeme, Tanzania tunapiga hatua kubwa sana zaidi ya Kenya
Endelea kutegemea[emoji23][emoji23]Nilitegemea hii id kwa sasa baada ya yosef kutoka karibu sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
A sensational headline from media adds nothing to facts buda boss., journalism is my cup of tea 😂😂😂😂.,Kwmb tufanane kwenye hili [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1688879
Mama yangu hajazaa watoto kumi, upo huru kusema kazaa watoto wa tatu km vile mm nipo huru kusema kazaa mamako kazaa watoto kumi kw standard ya nchi kubwa kubwa km tanzaniaBado unaendelea sio, hii ni mara ya mwisho nakuonya wacha hayo maneno kwakuwa mm sijawahi mgusa mama yako.
And yet [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
Weka ushahidi hapa kwa hilo unalosema usipoweka utakuwa unahamu ya kuliwa jicho na mm.Mama yangu hajazaa watoto kumi, upo huru kusema kazaa watoto wa tatu km vile mm nipo huru kusema kazaa mamako kazaa watoto kumi kw standard ya nchi kubwa kubwa km tanzania
Hio video nilishaona kitambo sana hakuna kitu hapo zaidi ya hzo estates za investors wakat majority wako kwenye slums wana nyea debe👇👇👇🤣🤣🤣🤣 80% of nairobi residence wanaishi kwenye slums alaf unashangilia hapaichoboy01 hapo vipi? tukingoja 2022, check this video clip,, Eastlando..,the headquarters of sheng.,
So kwann una panic bibie 🤣🤣🤣🤣Endelea kutegemea[emoji23][emoji23]
Hata wewe ongeza ID km tano