Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hamutaikamata level ya tanzania kwasababu watu hawafi kwa njaa hakuna ukabila hakuna ufisadi uliopitiliza hakuna vita hakuna slums [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] so jipangeni
The result of your economic output speaks otherwise..,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ile GDP iko wapi au sasa hvi iko ICU kwa madeni yasiolipika[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa south Africa vile kila kitu kimesambaratika kwa sasa GDP yao ya around $350B haipo?, ama Nigeria na negative growth $400B imepotea?., na Angola je? Unaelewa economics kweli?, [emoji23][emoji23][emoji23] kunywa bro[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898]
 
Yosef Festo Tony254 maendeleo hua munafkiri ni kuvaa suti tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kenya haviko bro., we have none going on watu wako barabarani wanarusha mawe 24/7, BBI sahi rally zinaendelea 24/7., hakuna maendeleo ichoboy01 [emoji1787][emoji1787][emoji23], TZ Africa yote inaendelea peke yake , mnatisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji23] nashangaa[emoji44][emoji44][emoji15][emoji15]
 
Sisi tuna elimu bora ushuzi wa nguruwe

Is that an indication of education system ama jamaa kajitengenezea cheti bandia? [emoji1787][emoji1787][emoji1787], leo uta expose your idiocy hadi jua itue magharibi[emoji23][emoji23][emoji1787] kunywa more[emoji898][emoji898][emoji898][emoji898][emoji898] nimelipa bill ,
 
Subiri 2022 kazi mutaiona vyema 🀣🀣🀣 munakaa kupoteza pesa za tax payers kwa upuuzi unaioitwa BBi wakat wakenya hawana chakula na maji safi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜πŸ˜ sijawah kuona nchi duniani siasa zinaanza 2 yrs before the election sijawah toka nimezaliwa
 
🀣🀣🀣🀣🀣 kwani ukiwa na kitu kidogo hukosi cheti kenya sema tu ukweli
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa station nazo mlichemsha bro ,[emoji23][emoji23][emoji1787], ama tiles na viaduct zinakuoea orgasm[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Niko na subra nangoja trains za South korea.,
 
Leo naona hujaifananisba na debt ya japan 🀣🀣🀣 umeruka kabisa huko

kabla hujachunguza kama mwenzako ana makalio ww unatakiwa ujihesabu uko sawa sawaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡



 
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa station nazo mlichemsha bro ,[emoji23][emoji23][emoji1787], ama tiles na viaduct zinakuoea orgasm[emoji23][emoji1787][emoji1787]
Niko na subra nangoja trains za South korea.,
Uhehehehhehehhehehehehehehhehehehehehhehehehehe Nilisema mm itafika kipindi hali zenu za uchungu zitakua zaidi ya anaezaa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
..in this sickness we better you in economic output, na bado tunalalamika kwa sababu we know our potential, hiyo ni way below,. Nyie mnaficha uchi kisa uzalendo, [emoji1787][emoji23]., Your annual reports are a contrast of your noises! Yaani nyie ni empty clouds kwa sky., mnakusanyika utadhani mvua itanyesha kisha matokeo ni opposite., haiambatani na what u claim to have[emoji23][emoji23][emoji23], revenue one of the indicators., poverty levels nyingine,. blah blah blah ndio kibao ,
 
Poverty level gani wakat unemployment rate iko times three of tanzania unategemea nn maisha mazuri hapo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 Na hapo tanzania population ni kubwa kwa kenya ila unemployment rate kwenu ni times three alaf bado munakenua meno hapa

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…