Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uhehehehehehheheheheheh[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116] endelea kujipa matumaini unafkiri muna akili ya kumzidi mchina [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1688810
Exactly PPP, now did u analyse it's pros n cons vs taking a direct loan? How does it impact on a country's budget? , msomi wa Russia changamka...,
 
Vp tena 🀣🀣🀣🀣. Yosef Festo kwema
 
Exactly PPP, now did u analyse it's pros n cons vs taking a direct loan? How does it impact on a country's budget? , msomi wa Russia changamka...,
Subirini miaka 30 ya joto la jiwe linakuja kutoka kwa yule yule aliwabikiri kwenye white elephant SGR ndio huyo huyo atafanya maajabu miaka 30 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
UhehehehehehhehehehehehπŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡ endelea kujipa matumaini unafkiri muna akili ya kumzidi mchina πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡View attachment 1688810
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]unajaribu kutuvuta tuwe level yenyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23] bro pewa mbili kwa bill yangu[emoji898][emoji898]
Hamutaikamata level ya tanzania kwasababu watu hawafi kwa njaa hakuna ukabila hakuna ufisadi uliopitiliza hakuna vita hakuna slums 🀣🀣🀣🀣🀣 so jipangeni
 
angalia tofauti hapa si bendera ya nchi! Bali ni bendera ya kuruhusu treni kupita!
Hiyo ya kuzindua miradi kwa kutumia bendera ya nchi ni tamaduni ya Kenya. Yeye ameenda kwenye internet na akakosa kabisa kupata mfano kama huo from another country. Sisi huwa tunalaunch hadi wanadamu sio ng'ombe tu. Hawa ni wanariadha waliokuwa wanaenda olympic ya 2016 wakizinduliwa na rais



Cc chongchung
 
That station as an ugly outlook, nangoja trains., nione, relax
🀣🀣🀣🀣😁😁😁😁😁🀣🀣🀣😁😁😁🀣🀣🀣😁😁😁😁 leo imefika siku ile tuliokua tukiisema
 
Vp tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Yosef Festo kwema
Hapo sawa kabisa with effects of covid19 itabidi, then by the end of 2021/22 financial year tutawanyorosha bado.[emoji23][emoji23][emoji23]Niko area kuwakumbusha with results., wanabiashara ndio wanaelewa.,
 
Hapo sawa kabisa with effects of covid19 itabidi, then by the end of 2021/22 financial year tutawanyorosha bado.[emoji23][emoji23][emoji23]Niko area kuwakumbusha with results., wanabiashara ndio wanaelewa.,
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ile GDP iko wapi au sasa hvi iko ICU kwa madeni yasiolipika🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…