Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Chumbe island tz
FB_IMG_1499010486287.jpg
 
Baadhi ya tv station zenye app tz
Screenshot_20170702-192544.png
Screenshot_20170702-192555.png
Screenshot_20170702-192627.png
Screenshot_20170702-192656.png
Screenshot_20170702-193022.png
Screenshot_20170702-193038.png
 

Attachments

  • Screenshot_20170702-192544.png
    Screenshot_20170702-192544.png
    129.9 KB · Views: 30
  • Screenshot_20170702-192602.png
    Screenshot_20170702-192602.png
    118 KB · Views: 28
  • Screenshot_20170702-192656.png
    Screenshot_20170702-192656.png
    237.9 KB · Views: 30
El Matador
Socialism ndicho ambacho TZ kilichoiponza mpaka kufikia hatua hii tofauti na Kenya mzee Kenyatta alipingana kabisa na Mwalimu kuhusu socialism lakini Mwalimu akajikuta ndo kila kitu baada ya Urusi na Uchina kumkalia kooni
Halaf kumbuka Kenya nyie mlikua na settled system of colonialism tofauti kabisa na TZ, kwahiyo kwa mantiki hiyo Nairobi ilitumiwa sana na Whites kusettle and as you know place that white settled always will be in systematic way same to their places in abroad
Kwa Dar things were differ from yours because of that, so socialism kwa TZ iliifanya hata Dar ambayo ilikua capital kwa kipindi hiko ku_fail kufikia kule ilipotaka
thus why now, many of places Dar hakuko planned hence we use a lot of efforts to rebuild the city in a systematic way rather than nyie ambao mliachiwa things on a systematic so hampati shida ni vile kuendeleza what a white left on you

Unapokua hujui kitu jaribu kuuliza badala ya kuanza kuandika vitu unavyo amini.

Siio Urusi wala China waliomkalia kooni Nyerere.

na Tatizo halikua Socialism. Swala kubwa lililoua na kuharibu uchumi wetu ni "Liberation of Southern Africa, na vita vingi visivyo na tija, kama Seychelles, Uganda, Mozambique Renamo,. Hela nyingi za viwanda tulivyokua navyo na vilivyojengwa ilikua ikitumika kufadhili vita.

Vita ya Uganda ilienda kupiga msumari kwenye Uchumi kabisa, baada ya Vita ile, viwanda vingi vya vilianza kufa, UDA, SunguraTex, MwaTex, kiwanda kikubwa cha Maziwa kilikua kimeunganishwa mpaka na reli, Ubungo maziwa, Urafiki, Fishnet, kiwanda cha kutengeneza Redio na battery National, viwanda vya sabuni, Mbuni, Mbunju, Kodrai, vingi mno

Kwa sisi tuliokuwepo miaka ya 1980s tunakumbuka vizuri unga wa Yanga, wengi wenu bado ni wa umri mdogo na hamkukuta sabuni kama Kodrai.

Swala lililoua uchumi ni Ukombozi wa Africa na vita vingine visivyo na msingi kama Uganda, Seychelles.
 
Back
Top Bottom