Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
jengeni white elephant wakati soko lote sisi ndio tuko nalo. na sgr yetu itakuja haribu kila kitu kwa kasi yenye tuko nayo
jengeni white elephant wakati soko lote sisi ndio tuko nalo. na sgr yetu itakuja haribu kila kitu kwa kasi yenye tuko nayo
Elewa kiswahili nairobi was already planned by whites.....so mlikua na kazi rahisi sana yakuendeleza mlivovikuta....tz ilikua na socialism so we took more time to change and also whites Hawakuacha anything zaidi ya mipakacome on. You guys got independence before us,you had more resources than us and a relative peace and stability. You cant make excuses bana......Nairobi has also suffered great political and economic shocks remember.
Mbona povu sasa na sio dar port ambayo iko under huge expansion ni port zote tanzaniajengeni white elephant wakati soko lote sisi ndio tuko nalo. na sgr yetu itakuja haribu kila kitu kwa kasi yenye tuko nayo
Elewa kiswahili nairobi was already planned by whites.....so mlikua na kazi rahisi sana yakuendeleza mlivovikuta....tz ilikua na socialism so we took more time to change and also whites g
Hawakuacha anything zaidi .
North korea wametumia socialism na wanafanya USA wakose usingizi....no excuses pal
Kumbuka wale hawaja change mpaka leoI just meant that socialism is not an excuse .Others used it and it worked perfectly. Did you shift to capitalism ama mko ujamaa system bado?
I just meant that socialism is not an excuse .Others used it and it worked perfectly. Did you shift to capitalism ama mko ujamaa system bado?
El Matador
Socialism ndicho ambacho TZ kilichoiponza mpaka kufikia hatua hii tofauti na Kenya mzee Kenyatta alipingana kabisa na Mwalimu kuhusu socialism lakini Mwalimu akajikuta ndo kila kitu baada ya Urusi na Uchina kumkalia kooni
Halaf kumbuka Kenya nyie mlikua na settled system of colonialism tofauti kabisa na TZ, kwahiyo kwa mantiki hiyo Nairobi ilitumiwa sana na Whites kusettle and as you know place that white settled always will be in systematic way same to their places in abroad
Kwa Dar things were differ from yours because of that, so socialism kwa TZ iliifanya hata Dar ambayo ilikua capital kwa kipindi hiko ku_fail kufikia kule ilipotaka
thus why now, many of places Dar hakuko planned hence we use a lot of efforts to rebuild the city in a systematic way rather than nyie ambao mliachiwa things on a systematic so hampati shida ni vile kuendeleza what a white left on you
Chosen by who?We are The chosen Africans.....
Kadoda11 i thought you were a keen person, seems you don't pay attention afterall, re-read what i posted na uache kunifanya kila wakati nijirudie, si uwd makini tu, ni rahisi sana. I said "you never know what he could bring" amd also quoted "let's wait and see" i have seen you type in english before, don't make me translate.
MWANAUME MZIMA!! from now on your just a piece of shame.
Na sio hio tu wawekezaji wa gas na other sectors wanakuja......nchi zote zinakimbilia tanzaniaOK let's wait and see.
meanwhile![]()
![]()
![]()
![]()
Its true lakini in other hand pia socialism imetusaidia sana kuondoa tribalism and to spread peace....h3izo ndio zilikua positive impactsEl Matador
Socialism ndicho ambacho TZ kilichoiponza mpaka kufikia hatua hii tofauti na Kenya mzee Kenyatta alipingana kabisa na Mwalimu kuhusu socialism lakini Mwalimu akajikuta ndo kila kitu baada ya Urusi na Uchina kumkalia kooni
Halaf kumbuka Kenya nyie mlikua na settled system of colonialism tofauti kabisa na TZ, kwahiyo kwa mantiki hiyo Nairobi ilitumiwa sana na Whites kusettle and as you know place that white settled always will be in systematic way same to their places in abroad
Kwa Dar things were differ from yours because of that, so socialism kwa TZ iliifanya hata Dar ambayo ilikua capital kwa kipindi hiko ku_fail kufikia kule ilipotaka
thus why now, many of places Dar hakuko planned hence we use a lot of efforts to rebuild the city in a systematic way rather than nyie ambao mliachiwa things on a systematic so hampati shida ni vile kuendeleza what a white left on you
hatari....Baada ya nakumatt kufunga baadhi ya maduka yake sasa bank pia imefuata mkondo😀😀😀
View attachment 533893
adui muombee njaa...Baada ya nakumatt kufunga baadhi ya maduka yake sasa bank pia imefuata mkondo😀😀😀
View attachment 533893