Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wanakusanyika hiv wengine bila hata masks, afu wizara bado inaendelea kupima! what a nonsense! wakenya mjue mnapigwa kwenye upimaji, watu wanajilia hela tu za bure. wake up!
hela za mikopo huwa haziumi maana kuzipata leo kulipa matanga!
 
Pilots wenu ni wahindi? Hahaha. That just goes to show how undeveloped the human skills and resource in TZ is. You need to invest in the education and skills of your people, not just spending money on building dams and railways. KQ huwa inasomesha pilots wake from the local population. The same is true for Ethiopian airways, kila pilot wa Ethiopian airways ni Mhabeshi. Kila pilot wa KQ ni Mkenya. Guyz you need to develop your human resource, not just your infrastructure.
 
hawa wawili ni Raia wa Tanzania japokuwa wana asili za Kiasia na Kiarabu! kwetu sie hatuna ubaguzi nyie tayari mna dynasty vs hustler way ahead kabla ya 2022!
 
acha usifananishe tena askari yeyote wa Tanzania na vitu vya ajabu ajabu. Tanzania ghala zaidi ya 42 za silaha zililipuka DAR na shughili zikaendelea kama kawaida. Hawa ndiyo wa kuwafananisha na poor turkanas in kenya? huu ni zaidi ya udhadhilishaji.
sorry It was just an expression ndio WaTZ wasikue wakisema eti Kenya kuna njaa na wako ma shamba na pesa,wanaweza nunua chakula ata huko mbali India
 
True Lakini Heri kupika chakula za kiutamaduni zenyu kuliko za wengine,unapata TZ huko wote wanaishi na kukula kiuswahili wote mpaka maasai,Kenya kwajili ya Utamaduni tofauti makabila flani hayaelewani na kuleta Vita Kwahivyo hatujapoteza utamaduni
 
Labda nikiuleweshe kitu kimoja kwetu muhindi/Asians ni watu wa kawaida tu bro wengi wamezaliwa Tanzania na wengi walipata uraia wa Tanzania zamani Sana,mfano miji yote Tanzania utakuta wahindi au Asians wanakaa maisha ya kawaida tu kama vile mbongo tofauti na nyinyi majirani zetu whereby mitaa kama vile pangani, parklands,grogon etc ni mitaa ya Asians ambao wamijitenga na hawataki kugusana na ngozi nyeusi ndo unakuta bongo muhindi anapanda mwendo Kasi au daladala kama mtu WA kawaida🙂
 
KQ in pilot wazungu pia..
 
KQ mbona mnapilot wazungu na wahindi au wakiwa KQ siyo ishu?
 
Kq haina pilot wakihindi na wazungu?ukijibu ilo swali basi utakua umeeleweka vizuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…