Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia kwamba nenda shule. Kwa sababu umeona 32 ndio unadhani shutting down windows 32.
Na kwa sababu umeona maneno ya shutting down unadhani hizo code ni za shutting down. Hahahahahaha!!!

Hako ni kakitu kadogo tu nimekupatia umekaa one hour.
So unataka kupinga si ya shutting down na bado ikaandikwa na c sharp????
 
Umeibuka tena!? Mimi sipendi watu wanaofanya vitu slow. If I ask you a question unatakiwa ulijibu kwa wakati au uniambie kuwa utalijibu baadae. Issue za kukaa kimya mpaka ninalala inaonesha huna uhakika na unachofanya.

Wewe ndo unajifunza programming. So kama unataka kujifunza nipatie pesa nikusaidie.
 
We proggrammer kumbe ulikua unatoa maswali Google hadi nimeyapata hata nkt! Na unakataa hiyo code si ya shutting down and its something that is in public domain
Screenshot_20210123-104119_Chrome.jpg

Kwa kifupi mimi siyo programmer, mimi ni zaidi ya programmers.
 
Umeibuka tena!? Mimi sipendi watu wanaofanya vitu slow. If I ask you a question unatakiwa ulijibu kwa wakati au uniambie kuwa utalijibu baadae. Issue za kukaa kimya mpaka ninalala inaonesha huna uhakika na unachofanya.

Wewe ndo unajifunza programming. So kama unataka kujifunza nipatie pesa nikusaidie.
Jana ilikua late was tired wacha sasa we do it on fresh minds sasa leo mimi ndo nauliza na nataka washirikiane na yule chamoto alikua unakuja kusema juu ya efficient code
 
Jkia kuna automatic doors hadi sahii washa unveil hadi robots za kusanitize na kukumbusha watu juu ya korona.
Kuna airports za ulaya ambazo hazina. So what is your point? Automatic door is not the issue. The issue is how many passengers does your airport handle? How many flights per day (take-offs and landings). Hayo mengine ya modernity ni irrelevant.
 
Acha kukimbia unataka nikuulize swali la multithreat.
Je unajua multithread!?
Wewe ndo unajibu maswali leo.... si uliniuliza swali la code ya .dll ya kushut down computer nikikujibu unasema eti la na nimeipata kwa mtandao Penye ulitoa na imeandikwa kiwazi ni kushut down.... so meaning you not honest na maswali yako na majibu unatoa google
 
Sasa mbona unakimbia. Mimi nipo hapa. Nimekuuliza unajua multithread!?
Kuhusu C# kijana mimi nimebobea.
Jibu swali.
 
Niligoogle sababu sikuelewa mbona unakataa si ya shytdown and the way the registry works all that code just Indicated a termination process. Kufika google nikapatana na swali lako na jibu hapo na kabisa limeandikwa shutdown... ndo nikajua something is not right
Ulikuwa umejichimbia ku google. Nimekuuliza unajua multithread!?
 
Wewe ndo unajibu maswali leo.... si uliniuliza swali la code ya .dll ya kushut down computer nikikujibu unasema eti la na nimeipata kwa mtandao Penye ulitoa na imeandikwa kiwazi ni kushut down.... so meaning you not honest na maswali yako na majibu unatoa google
Twende serious. Nimekuuliza unajua multi thread!?
 
Niligoogle sababu sikuelewa mbona unakataa si ya shytdown and the way the registry works all that code just Indicated a termination process. Kufika google nikapatana na swali lako na jibu hapo na kabisa limeandikwa shutdown... ndo nikajua something is not right
Hey mbona hujibu swali langu!? Unajua multi thread!?
 
Sasa mbona unakimbia. Mimi nipo hapa. Nimekuuliza unajua multithread!?
Kuhusu C# kijana mimi nimebobea.
Jibu swali.
Mbona unakimbia kujibu maswali??? Kwani hujiamini??? Mbona unataka tu kuuliza na unajua wazi maswali yako ni ya google??? Nataka tuone how good you are at answering na sitakupa swali la mtandao nitakuambia something you will find in real situations ukicode
 
Unajua Multithread ndio au hapana.
1611388919356.png

Nimeshafungua kitendea kazi twende.
 
Hey mbona hujibu swali langu!? Unajua multi thread!?
Yeah I know multi thread it is just as it is written multiple threads instead of a single thread that's something all modern CPU's use nowadays but I do t want to be the one answering nataka hata wewe ujibu kidogo but kama umejishuku I can change topic
 
Sihitaji maelezo.
I want you to create windows Application using C#.
The Application shall display the time on a label using multithread to display time count.
Nakupa 20min
 
Unajibu swali langu au umepotezea?
 
Sihitaji maelezo.
I want you to create windows Application using C#.
The Application shall display the time on a label using multithread to display time count.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ona vile unajifunga mwenyewe si nilidhani ni wewe tu ulikua unasema c# haiwezi andika Application and it's not an object oriented language hehe sawa ndo umejua inaeza andika that's funny.... told you ukitoa vitu Google sometimes unajikanganya mwenyewe
 
Back
Top Bottom