President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Hizo video mbili ndio unasema watu kibao!? Wakenya mziki wenu ni katitu mlishauacha. Watanzania wanaangalia mziki mzuriWatz wantoa reaction kibao za Gengetone kule youtube. Mziki umepokelewa vizuri
Iyo mzki nimeshindwa hata kuskiliza kwa dakik ni km ya watu wasio jielewWanahangaika kupata jina la mziki wao karne hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alafu mlivyo jifunza ndio mkaja na genge[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nyie ni pumba sana....alafu english sio kila kitu acha ujingaNyinyi mko 60 million, sisi tuko 48 million. Vipi tena ulikuwa unataka tuwashinde kwenye kutazama umbea na miziki za mitandao? Dunia nzima inawajua nyinyi ni watu mnapenda umbea. Sisi ni watu tupo sophisticated. Tunatazama akina Beyonce na Jay Z, akina Bebe cool, akina wizkid. Hatujajifungia tu kwenye wimbo zetu kama nyinyi. Mjifunze kingereza angalau muanze kufuatilia wimbo za watu wengine.
Wakenya ni wa .Sudan walio changamka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ila wakenya mna sura ngumu hatari [emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani izo feelings nizanini ?Naweza kuenda kutafuta Albino mliowakata mikono na kuweka picha zao hapa. Endelea na upuzi wako
Wakenya wengi ni Mabantu kama nyinyi tu. Wacheni ujinga.Wakenya ni wa .Sudan walio changamka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
But wakenya mstari wa ikweta uliharibu sura zenu. Sura kama jiwe hahahahaWakenya wengi ni Mabantu kama nyinyi tu. Wacheni ujinga.
Huo ni mfano tu, sitaki kujaza server. Trending no 1 in kenya hiyoHizo video mbili ndio unasema watu kibao!? Wakenya mziki wenu ni katitu mlishauacha. Watanzania wanaangalia mziki mzuri
I told you. Tanzania huwa hatusikilizi music ya Kenya. Take it or leave it.Huo ni mfano tu, sitaki kujaza server. Trending no 1 in kenya hiyo
Source according to who??? African traveller🤣🤣
Mlidanganywa mko 48m wakat muko zaidi 50m au ndio ile sensa uchwara ya kenyatta na wale mbwa zake walivowadanganya🤣🤣🤣Nyinyi mko 60 million, sisi tuko 48 million. Vipi tena ulikuwa unataka tuwashinde kwenye kutazama umbea na miziki za mitandao? Dunia nzima inawajua nyinyi ni watu mnapenda umbea. Sisi ni watu tupo sophisticated. Tunatazama akina Beyonce na Jay Z, akina Bebe cool, akina wizkid. Hatujajifungia tu kwenye wimbo zetu kama nyinyi. Mjifunze kingereza angalau muanze kufuatilia wimbo za watu wengine.
Chakula cha mtanzania wa kawaida 😅😅Nipo home nimeshapiga nswalu,nyanya chungu na ugali wa udaga hapa nmetulia nashushia na Azam ukwaju,najua majirani zetu wazungu Sana hawanaga vyakula vya asilia isipokua githeri,alia,na mothokoi🙂 wazee wa pizza,na chips kuku npo?🙂
Sasa unataka kukataa kwamba upperhill sio ndogo hvi ww mbona siku hzi sikuelew🤣🤣 video mm nimeangalia mwanzo mpaka mwisho upperhii ni ndogo sana tena ndogo kweli kwliBoss upperhill ni business district kama vile sandton au kijitonyama. Hakuna business district yoyote Dar isipokuwa CBD yenu inayoweza kushindana na upperhill. Najua hata video hujatazama. Na kama umetazama na bado unaongea matope basi hio itakuwa ni wivu wako. Ila sandton pekee ndio imeishinda upperhill kwenye business districts zenye high rise nyingi
Mlidanganywa mko 48m wakat muko zaidi 50m au ndio ile sensa uchwara ya kenyatta na wale mbwa zake walivowadanganya🤣🤣
Inakuuma sana kwamba tuko 48 million? Pole itabidi uzoee
Akili kichwani mwako😅😅👇👇Inakuuma sana kwamba tuko 48 million? Pole itabidi uzoee