Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kujitetea ni ruksa but haitaondoa ukweli kwamba nusu ya Dar ni vijiji. Hizo picha za Ruiru you can clearly see Luna hadi nyumba, tena za maana but kule kwenu ni nyasi na miti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnachonifurahisha km chache kutoka nairobi cbd unakutana na vichaka,,,,hiyo nairobi ni kamji siyo city......jengeni kwanza...

50 & som thng km unacompare na 18-20 km huo ni ukichaa ,,jengeni nairobi mna eneo dogo but mnashindwa kulihumudu kwenye ujenzi
 
Compare and contrast Google Earth images between Ruiru and Tundwi below ndio tujue village Ni gani between these two. One is built up all over while the other is totally deserted with no sign of human activity. Stop comparing apples with oranges

Ruiru


Tundwi
 
I already showed you google earth image of the place you call kijiji vs the village that you are defending here so mush called Tundwi. Unaona zikifanana? 😂 😂
 
Sasa wewe ulitegemea kila eneo la jiji limejengwa?acha upimbi wako
Ni mara ngapi huwa mnatuambia vile Dar ni kubwa and even quote its size? Hiyo size inaisaidia nini Kama nusu yake ni vijijini? Hizo ni vijiji kaka. Hata kijijini kwetu afadhali 😂 😂
 
We nawe ebu wacha ufala, huwezi linganisha Dar na Nairobi as far as urbanization is concerned, co Nairobi tu bali miji yote (capital cities) ya EA ukiunganisha huwezi fikia Dar kwa mijengo.

Dar ndio mji wenye density kubwa ya buildings na hata residentials Dar usiijaribu kabisa, hakuna mabati huku, tatizo la Dar ni moja tu watu walijenga hovyo baadhi ya maeneo, lkn hizo nyumba zilizojengwa hovyo ni nyumba za block na kali, uliza walimu wa Kenya wanaofanya kazi Tz wakuambie.

Huwezi kabisa kulinganisha na usithubutu kabisa unajichosha bure kutaka kuondoa mentality ya Naipori [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Anabishana kila kitu uyo
 
Kama hakusema from world bank mm nafunga acc jamii forum🤣🤣👇👇

 
Of course Dar ndio mji wenye density as you can see below. 😂 😂 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…