Hapo ndio huwa mna fail majirani zetu evidence ipi wakati kila kitu kipo wazi🙂Wacha ujinga. Eti sasa Tanzania imedevelop kushinda Kenya? Unatumia statistics gani kudhibitisha hayo? Data ya world bank au data ya vijiweni?
Nairobi imejengeka 360 ndio mlivofundishwa huko mashuleni au 🤣🤣🤣🤣🤣Cbd dar ipo karibu na bahari, cbd nairobi ipo katikati hvyo ni vitu viwili tofauti..
Nairobi imejengeka pande zote dar yani 360
Mawaziri wa halmashauri ndio watu gani hao 🤣🤣🤣🤣Tuonyesheni mawaziri wa halmashauri
They don't want to admit they have a village right inside their city 😂Jamaa kaedit mwenywe eti road reserve na wakati huo nj msitu kando na hicho kijiji
Unacheka nini? Nyinyi hamuwezi kujenga kwenye bahari wakati sisi tunajenga kote kote 360° nyinyi mnabakia kujenga 180°.Nairobi imejengeka 360 ndio mlivofundishwa huko mashuleni au 🤣🤣🤣🤣🤣
Bro nlikua nafanya na mashirika haya concern worldwide, pathfinder,tika Africa, compassion international kutemebelea slums za Kenya especially Nairobi ndo ilikua first goal maana umaskin umekidhiri Sana 🙂Uongo mtupu. Nyie wasichana wenu hawana pedi mtoe wapi pesa ya kuleta pedi kwa nchi yenye Gdp ya $100 billion?
Uelewa wako ndio mdogo. How can Dar develop 360 degrees?Nairobi imejengeka 360 ndio mlivofundishwa huko mashuleni au 🤣🤣🤣🤣🤣
Huku debt to GDP ratio iko 86% alaf bado unashangilia mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣Uongo mtupu. Nyie wasichana wenu hawana pedi mtoe wapi pesa ya kuleta pedi kwa nchi yenye Gdp ya $100 billion?
Aliekudanganya dar imejengwa 180 nani na aliekudanganya nairobi imejengwa 360 nani au maana halisi ya 360 huijui???🤣🤣🤣 tony unaniabisha plzUnacheka nini? Nyinyi hamuwezi kujenga kwenye bahari wakati sisi tunajenga kote kote 360° nyinyi mnabakia kujenga 180°.
So ukimaanisha nairobi ni kubwa kwa dar au?????🤣 kua mkenya ni ugonjwa wallahUelewa wako ndio mdogo. How can Dar develop 360 degrees?
Jamaa wanaelekea kuwa wake za wachina aafu wanashangilia Sana🙂kwa kweli huu ni msibaHuku debt to GDP ratio iko 86% alaf bado unashangilia mwenyewe 🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 1680553
Hawana pesa hata ya kujenga km 1 ya reli alaf mtu anakwambia mambo ya GDP🤣🤣 rais anafunga safari kwenda ufaransa kukopa km 5 ya reliJamaa wanaelekea kuwa wake za wachina aafu wanashangilia Sana🙂kwa kweli huu ni msiba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hasira za nini bro japo tunajua madeni hutafuna sana kichwaKwani madeni yakiongezeka utakosa chakula nyumbani? Inakuhusu nini ikiwa madeni yataongezeka? Madeni ni yetu lakini wewe ndio unalia na kutoa machozi. Malazy mnashangaza.
Hapo ndio hamuelewi na pengine hamutaelewa. Nairobi outgrew its physical boundaries long time ago. Hapo Kikuyu kuna maelfu ya watu wanacommute daily kuja kufanya kazi Nairobi na kurudi nyumbani jioni. These people wanategemea Nairobi kwa kila kitu chao. Sasa tunaposema kwamba it's part of the metropolitan ni nini hamuelewi hapo? If it wasn't for Nairobi, Kikuyu haingekuwa na baadhi ya maendeleo iko nayo saa hii (barabara, apartment buildings, water supply etc).Kikuyu nimekaa eneo moja inaitwa kid farm co na gitaru ambayao sio mbali na kikuyu town kikukweli kikuyu ni kusafi, security nzuri Ila ni Ka mini town tatizo Kenya kila eneo mnaita town sema ipo kiambu county adminstration yake inafanyiwa huko huko issue ya kusema ni Nairobi metropolitan hapo ndo huwa mna fail🙂 Nairobi ni Nairobi kiambu ni kiambu mbona Nairobi ina govonor wake na kiambu ina govonor wake kama kweli kitu kimoja?
kile siyo kijiji ni sehemu ya kimkakati reaerve area mzee.......kichwa ngumu,,,Iweje unasahau lile kijiji 35 kms from Dar cbd? And within Dar boundaries?
Aisee inasikitisha Sana,ukitembea mitaa ya Nairobi utalia kwa uchungu majirani Wana suffer Sana mkuu,vijana wengi ambao wamesoma wanajiusisha na miradi ya kuosha magari,uzoaji wa taka kwene slums na mitaa yao,aafu wengine wanaenda kulala kwenye mabustani Yao kama Uhuru park,city park na jivanjee garden kama nasema uongo majirani zetu waseme🙂Hawana pesa hata ya kujenga km 1 ya reli alaf mtu anakwambia mambo ya GDP🤣🤣 rais anafunga safari kwenda ufaransa kukopa km 5 ya reli
wakat wanakwambia unemployment rate kenya ni kubwa mara tatu ya tanzania
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]unalazimisha iwe kijiji wakati tunajua 18km away from nairobi kuna watu wanalima maharage[emoji28][emoji28]
Unakataa kitu kila mtu aliona hapa ndani? 😂 wewe ni kichaakile siyo kijiji ni sehemu ya kimkakati reaerve area mzee.......kichwa ngumu,,,
dar siyo nairobi kila kona vichaka pori