Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,763
Kenya or Nairobi? nionyeshe overpass ya Wajir!Kenya ina overpass nyingi sana. Zingine tunashtukiza zimejengwa bila sisi kujua. Hii ni overpass ya ICD access road.View attachment 1680341View attachment 1680342
Hahaha. Wajir pia ni Kenya? Anyway I am just joking. Anyway Wajir pia ni Kenya na wamejengewa barabara ya Lami juziKenya or Nairobi? nionyeshe overpass ya Wajir!
Kutoka Dar mpaka Moro na Moro mpaka Singida kuna overpass almost 60 kwenye mradi lots 2 tu za SGRKenya ina overpass nyingi sana. Zingine tunashtukiza zimejengwa bila sisi kujua. Hii ni overpass ya ICD access road.View attachment 1680341View attachment 1680342
Hiyo water drainage pipeline mbona imepindapinda? Mchina anawachezea kweli!Kenya ina overpass nyingi sana. Zingine tunashtukiza zimejengwa bila sisi kujua. Hii ni overpass ya ICD access road.View attachment 1680341View attachment 1680342
Mimi siwezi kuhesabu overpass za SGR ya Kenya maana hazihesabiki. Mimi nahesabu tu za barabaraKutoka Dar mpaka Moro na Moro mpaka Singida kuna overpass almost 60 kwenye mradi lots 2 tu za SGR
Ngoma inaenda mpaka Mwanza more than 1k kilometres sijui zitakua ngapi!
Huwa mnafundishwa kutafuta volume of revolution huko kwenu au hayo mambo mnajifunzia chuo kikuu?Kwn wewe ukileta gani, hapo lazima ujue form4 ya kenya ni sawa na mtu anayetoka A level kwenda chuo
Juzi tangu mdake uhuru wenu miaka 4000 iliopitaHahaha. Wajir pia ni Kenya? Anyway I am just joking. Anyway Wajir pia ni Kenya na wamejengewa barabara ya Lami juzi
First tarmac road blows winds of change in Wajir
First tarmac road blows winds of change in Wajirwww.standardmedia.co.ke
Soma article hio kwanza ndio utajua kwamba ugatuzi unasaidia Kenya. Serikali kuu ilikataa kujenga barabara huko. Sasa serikali ya kaunti imejenga lami huko. Najua hujasoma hio article.Juzi tangu mdake uhuru wenu miaka 4000 iliopita
Yani unadhani Nairobi imeanza CBD inaishia kikuyu??🤣 mbona usianze kupima from JKIA to kikuyu na ndipo Nairobi unaanza na kuishiasasa kama 20km tu unakuwa out of nairobi,,,,,
serious mnataka kulinganisha dar heaven city na hako kamji kapo kama punje ya unga na mmeshindwa kujenga.....seriously....
ya leo kali 20km out of nairobi na bado kuna vichaka vya kutosha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1680315
Zinahesabika na ni chache kichiziMimi siwezi kuhesabu overpass za SGR ya Kenya maana hazihesabiki. Mimi nahesabu tu za barabara
Yani unadhani Nairobi imeanza CBD inaishia kikuyu??🤣 mbona usianze kupima from JKIA to kikuyu na ndipo Nairobi unaanza na kuishia
Kweli kwenye mambo ya uongozi mlikua nyuma huku local governments zimekua zikijenga barabara na miundombinu chungu mbovu miaka na mikaka kwa kupitia makusanyo ya halmashauriSoma article hio kwanza ndio utajua kwamba ugatuzi unasaidia Kenya. Serikali kuu ilikataa kujenga barabara huko. Sasa serikali ya kaunti imejenga lami huko. Najua hujasoma hio article.
Nairobi has its boundaries, just the same way Dar has its boundaries. Why you expect Kikuyu to fall within Nairobi boundaries when it isn't only you can tell us. Perhaps you've never been to Nairobi but this city outgrew its boundaries many years ago and that's why there are places that are not geographically in Nairobi but now identify with the city. It has become one big metropolis spreading to as far as Isinya and Ngong in Kajiado County to Mlolongo and Syokimau in Machakos county and Ruiru and Juja in Kiambu County. All these are built up areas, something that you will never find in Dar.umekuwa kipofu sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani kama 20km un\kuwa nnje ya nairobi basi hiko ni kimji si jiji[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ndiyo maana tunawaambia kuwa hako ni kaeneo kadogo na mmeshindwa kukajenga yaani 20km unakuwa out of nairobi.......tobaaa!!!!
msishindane tena na darView attachment 1680314
point inabaki pale pale tu,,,,yaani ukitoka town 20km upo chaka nnje ya nairobi ...Yani unadhani Nairobi imeanza CBD inaishia kikuyu??[emoji1787] mbona usianze kupima from JKIA to kikuyu na ndipo Nairobi unaanza na kuishia
Hatukujifunza kutoka kwenu. Kwani unadhani nyinyi pekee ndio mna ugatuzi?Kweli kwenye mambo ya uongozi mlikua nyuma huku local governments zimekua zikijenga barabara na miundombinu chungu mbovu miaka na mikaka kwa kupitia makusanyo ya halmashauri
Nilikuambia mnachokiita ugatuzi mlikuja kujifunzia Tanzania, huku tunaita local government na zipo kwa ngazi za mikoa (regional government) na halmashauri (local government)