Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwanza kuna electric train? You are a Tanzanian. What good can come out of your mouth? But that won't change any fact that Mombasa is a million times better than Mwanza
Kwahiyo Mwanza haina infrastructure za electric train, kwnn unaishi maisha magumu hv [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji85][emoji85]
 
The only thing mligundua na dunia yote ikaona ni kwamba corona virus inaweza ambukiza hadi mbuzi na papai. Hapo tunawapa kongole [emoji23]
Unaendelea kujitesa[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
 
Wacha apite huyu huyu M7, #TUNA JAMBO LETU [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mabati Rolling mills in Tz Should never be compared to This JKIA Nairobi
View attachment 1678630
Waliovuka border wakifika Terminal three wanajua wapo majuu...wewe unayeshinda huko ushago ni wivu tu ndio kinachokusumbua.

Embu fananisha hii screen shot na hiyo takataka (hata siwezi ita picha maana ni kuikosea picha heshima) uliyo post [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mji wenu umejaa mapori ndio maana mnapata maeneo ya kuchezea kwa kujenga hizo barabara mapambo. Dar hakuna mapori hivyo hakuna nafasi ya kutumia hovyo hovyo. Siyo kwamba pale ubungo tulishindwa kujenga hayo madoido ila gharama za kulipa fidia zingefanya hata huo mradi usiweze kutekelezeka kwani gharama ingekuwa hata mara nne ya hizo zilizotumika kujenga hiyo interchange
 
Kwahiyo Mwanza haina infrastructure za electric train, kwnn unaishi maisha magumu hv [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji85][emoji85]
Tuonyeshe hizo infrastructureza electric train tuone
 
Naona sasa umeshapigika[emoji23][emoji23][emoji23]
Suspendion bridges mnazoringa nazo no za 15th century[emoji23][emoji23]
Tofautisha suspension bridge sio cable stayed brudge usichabgabt mafaili ww
 
Kanye corona mlitumia nini? kakakuona? 😂
Tulitumia dawa za asili (mimea) ambazo zimethibitisha kuwa na uwezo mkubwa wa kuua virusi na bakteria wa aina nyingi, kwa miaka elfu na elfu.

Tumejuaje hayo? Kwasababu mimea hiyo ipo.

Mimea kama tangawizi na vitunguu saumu, inaota ardhini ambapo kuna kila aina ya wadudu wanaohitaji kula mimea hiyo kuishi. Kitendo cha hiyo mimea kuwepo mpaka leo, inamaana inauwezo wa hali ya juu kujilinda. Kumbuka mimea haiwezi kukumbia sehemu hatarishi kama wanyama.

Mimea hii inajilinda kwa kutoa maji maji na gesi mbali mbali inapokwaruzwa, gesi hizo huwa zina fubaza nguvu ya wadudu au kuua kabisa (papo hapo).

Sasa kwa kutumia logic hiyo, watanzania tuliamua kutumia mimea ili kufubaza/ kuua virusi vya Corona kwa kujifukizia gesi zake (inhale) na hivyo kuipa miili yetu muda wa kutengeneza kinga bila ya kudhoofika.

Nchi ambazo hazikutumia dawa hizo za asili (kwa idadi kubwa) hazikuweza kutengeneza herd immunity na hivyo wengi kufa au kuwa na idadi kubwa ya waathirika.

Mimi mwenyewe juzi tuu hapa niliugua Corona na nilitumia dawa hizi za asili na sasa niko poa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…