The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Kwa hiyo hizo cheap roads ndo ziliwafanya muamini kwmb mnaiweza Tz kwenye road network? Wakenya bhn, hiyo ni designing tu but road is road [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Such kind of roads huwezi pata Tz yote imagine [emoji16][emoji16]
View attachment 1678894View attachment 1678895View attachment 1678891View attachment 1678892
🤣🤣🤣 so UglyFootbridge za zege karne hii, kwn ni overpass ya magari
Ona huyu🤣🤣🤣🤣 this kind of roads are found in developed countriesKwa hiyo hizo cheap roads ndo ziliwafanya muamini kwmb mnaiweza Tz kwenye road network? Wakenya bhn, hiyo ni designing tu but road is road [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Anaona aibu kuzitaja kw majina, ila muelewe kipaumbele chao ni guestOna huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] this kind of roads are found in developed countries
Nioneshe developed gn imejenga old style kwa recently, hakuna developed yyte ikajenga ma interchange ya hivyo, hata Tz haitakaa ijenge maushuzi jua kali km hayo, labda tujenge km ile ya Uganda cz ile ni ya kisasa.Ona huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] this kind of roads are found in developed countries
Ss rekebisha ww, unataka usaidizi wa nn, tatizo mna complicate sn haya mambo, ni kawaida tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji205][emoji90]kikihboy umeona hapo pa road is road au ni mmtu..
Mwenzako kw kisukuma kamaanisha barabara ni barabara tu[emoji23][emoji23]
Cloverleaf ndio old style[emoji23][emoji23]kikihboy umeona hapo pa road is road au ni mmtu..
Mwenzako kw kisukuma kamaanisha barabara ni barabara tu[emoji23][emoji23]
Huyo ni swahiba wa The best 007 kw wizi hawawezekani.
this kind of road ni zile simple,hasara yake haiko kwenye pesa ila iko kwenye eneo inalochukua.Such kind of roads huwezi pata Tz yote imagine [emoji16][emoji16]
View attachment 1678894View attachment 1678895View attachment 1678891View attachment 1678892
Umepanic, mbna mie sijaona tatizo hapo..Ss rekebisha ww, unataka usaidizi wa nn, tatizo mna complicate sn haya mambo, ni kawaida tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji205][emoji90]
Kamjibu gezakwamba hio ni picha yenu?
Pale mtu anapotafuta njia ya kuhalalisha ujinga ili na yeye aonekane ana point kutokua nayo kumbe ni elimu tu ndio hana..this kind of road ni zile simple,hasara yake haiko kwenye pesa ila iko kwenye eneo inalochukua.
ili nikusaidie labda,gharama ya kujenga flyover moja tu kama hiyo ya hapo ubungo,ni sawa na hizi zako hapo 50.ila kwavile hatuna nafasi ndani ya jiji kujenga hayo makopa kopa,ndio sababu unaona tunakomaa na madaraja ya bei mbaya.
ni kweli huwezi shuhudia hii dsm,na hutakaa ushuhudie[emoji2][emoji2].
[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Cloverleaf ndio old style[emoji23][emoji23]
Mzee baba acha kujiabisha jomba, we kubali hamna tu..
Si jana hapa mlikuja na vipicha eti mnajenga yenu mwanza mbona wenzako walinengua japokua picha ilikua ya uganada
Hizo zina ajali hizo sio kitoto, yn ma interchange ya style hyo ni most dangerous, kule ulaya wameachana nayo hayo, nashauri GoT isijenge ya design hyo.this kind of road ni zile simple,hasara yake haiko kwenye pesa ila iko kwenye eneo inalochukua.
ili nikusaidie labda,gharama ya kujenga flyover moja tu kama hiyo ya hapo ubungo,ni sawa na hizi zako hapo 50.ila kwavile hatuna nafasi ndani ya jiji kujenga hayo makopa kopa,ndio sababu unaona tunakomaa na madaraja ya bei mbaya.
ni kweli huwezi shuhudia hii dsm,na hutakaa ushuhudie[emoji2][emoji2].
Mombasa wacha tu,Dar chunga
Mfuatilie huyu mkenya mwenzako akufumbue macho kuhusu darhttps://youtu.be/CM0FVYHIJ1Ehttps://youtu.be/CM0FVYHIJ1EZoom kabisa but the fact remains Mombasa is almost Dar
Kitu ya 30s mtu anafikiri wao ndio wa kwanza. Wakenya exposure yao ndogo sana[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
The Origin Of The Cloverleaf Highway Interchange
In November 1931, the Engineering News-Record reported on the first cloverleaf highway interchange in the U.S. Located in Woodbridge, NJcreedla.com
GOT kiongozi anapokwenda ulaya,huwa ana point kitu kisha anasema "nataka kama ile"[emoji23][emoji23]Hizo zina ajali hizo sio kitoto, yn ma interchange ya style hyo ni most dangerous, kule ulaya wameachana nayo hayo, nashauri GoT isijenge ya design hyo.
Nilitaka nishangae ww kiande unirekebishe mm ww[emoji3][emoji3] wapo watakaonirekebisha ila co ww[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]Umepanic, mbna mie sijaona tatizo hapo..
Barabara ni barabara tu, au we wasemaje[emoji2960][emoji2960]