Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leteni picha za footbridge za Dar. Kusema ukweli mimi sijawahi kuziona.
The best 007 leta picha za footbridge. Weka atleast mbili ndio tujue kwamba ni ukweli.
Ninyi mijitu ni mishamba sana, Tanzania haijengi miundombinu bila kuwa na umuhimu wa kuujenga, miundombinu inajengwa in accordance with the need of it

Hii ni Mwanza

 


agoogle
1. Manzese bridge
2. Morocco bridge
3. Ubungo bridge
4. Kimara mwisho bridge
5. Tangibovu bridge
6. Bugurun bridge
7. Mbezi mwisho bridge
8. Mbezi-Kibaha highway bridge (lipo upande wa Dar)

hizo ni za Dar tu
 
Hua wanajenga ovyo ovyo ndio maana leo madeni yanawatesa sasa ww niambie ile overpass ya kisumu inauhitaji gani??? [emoji1787][emoji1787]
Nilijifunza ni kwamba Kunyaland nzima wanaasili ya sifa za kijinga walizolisishwa na Kenyatta, ndo mana huwa wanaingia madeni ili mradi waonekane na wao hawako nyuma.

Wakati mwingine huwa wanachekesha sana, utakuta wamejenga tunnel road sehemu ambayo ni tambarare hahahahaaaaa[emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji205]
 
Nyinyi huwa mkishindwa mnaanza kusema eti sisi ni watu wa sifa.

Cc ichoboy01
 
agoogle
1. Manzese bridge
2. Morocco bridge
3. Ubungo bridge
4. Kimara mwisho bridge
5. Tangibovu bridge
6. Bugurun bridge
7. Mbezi mwisho bridge
8. Mbezi-Kibaha highway bridge (lipo upande wa Dar)

hizo ni za Dar tu
Pale Mbagala pia inajengwa kalii [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ameshapewa sindano zake ata ivyo, lkn tatizo la Tony atakuja kusahau km alishaoneshwa so tegemea kuulizwa tena hilo swali toka kwa Tony [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Huyu Tony254 anatafuta pa kujishika tangu ni-post mradi wa interchange Mwanza maana anajua itajengwa kuunganisha na daraja la Busisi-Kigongo! Siku hizi hawathubutu kuilinganisha Mwanza na Kisumu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…