Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya wenzako hawapendi ss tony [emoji3][emoji3]
 
Kwa kupima papai na mbuzi? 😂 😂
Tumetumia sayansi kuwaumbua watu wenye hila mbaya za kusambaza corona.

Tz, tumegundua kuwatumia panya kutegua mabomu. Panya wetu wamesaidia nchi kama Angola na Cambodia. Pia tumegundua kuwatumia panya kutambua kama mtu ana TB, tena ufasaha wake ni wa haraka (sekunde chache) kuliko kutumia x ray.
 
Tumegundua kuwatumia panya kutegua mabomu. Panya wetu wamesaidia nchi kama Angola na Cambodia. Pia tumegundua kuwatumia panya kuangalia kama mtu ana TB, tena ufasaha wake ni wa haraka (sekunde chache) kuliko kutumia x ray.
Pia tumegundua kwamba ukiweka maji ya moto na ya baridi ndani ya friji basi maji ya moto ndio yatakayoanza kuganda (mpemba effect), wakenya mmegundua nn hebu mtuambie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hebu kuwa muwazi tu hiyo town naijua kiasi nimewahi kaa 1week na sehemu ya interchange naipata vyema 5th town si kitu rudi kwenye point ya msingi,,,,,,


unauhakika kuwa mlijenga kwa tija kulingana na mahitaji....?[emoji1787]
Hua wanajenga ovyo ovyo ndio maana leo madeni yanawatesa sasa ww niambie ile overpass ya kisumu inauhitaji gani??? 🤣🤣
 
hebu kuwa muwazi tu hiyo town naijua kiasi nimewahi kaa 1week na sehemu ya interchange naipata vyema 5th town si kitu rudi kwenye point ya msingi,,,,,,


unauhakika kuwa mlijenga kwa tija kulingana na mahitaji....?[emoji1787]
Traffic zinazoelekea western province, Eldoret town, Turkana na maeneo ya Northern Kenya, na traffic zinazoelekea Uganda zote zinapitia katika hio interchange.
 
Study nzuri sana hii, ntaendelea kuifuatilia kiundani zaidi hasa ukizingatia wamasai huwa ni warefu kulinganisha na makabila mengine.
Hata South Sudanese ni one of the tallest people in the world na wao wanakunywa maziwa sana na kula nyama. Hata Scandinavian countries akina Sweden, Norway ni warefu kwa sababu ya kula animal protein. Ni sawa mkuu ifuatilie na kama una watoto anza kuwapatia animal protein wakiwa wadogo.
 
Tumekuwa na daraja la waenda kwa miguu Dar toka 1993 (Manzese) na sasa kuna mengi sana kama Buguruni, Tangibovu na yale ya BRT.
Leteni picha za footbridge za Dar. Kusema ukweli mimi sijawahi kuziona.
The best 007 leta picha za footbridge. Weka atleast mbili ndio tujue kwamba ni ukweli.
 
Facts
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…