Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Halafu mara nyingi huwa unawaumbua na huu ushuzi zen wanaona aibu lkn kuna siku wanakosa cha kupost wanarudia tena [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Tumefanya kitambo hiyo ndio maana hakuna shida ya maji Dar.
Skieni huyu,hii technology inatumika hapa is the first one in East and central Africa,nyi hamna,,konza si city ya kawaida kila kitu hapo Ni of new technologies
 
Skieni huyu,hii technology inatumika hapa is the first one in East and central Africa,nyi hamna,,konza si city ya kawaida kila kitu hapo Ni of new technologies
Iko wapi ss hiyo konza, btw hizo mambo za water tumefanya kitambo sana.
 
I love this💪💪💪
hqttps://www.facebook.com/100044099051069/posts/254139276066039/?app=fbl
 
Sasa ndio mumeanza kujenga interchange? Aki mko nyuma.
huwa hatujengi vitu ilimradi for fashion....

hii ndiyo tofauti kubwa baina ya Tz na kenya...

mfano kenya inaweza ikaweka interchange maporini ambapo hakuna hata umuhimu ila tz haitoweka interchange mpaka muda muafaka.. hiki ndicho kitu kitakachoipindua kenya....

kaeni kwa umakini nilichosema ndiyo ukweli kenya inapotea ndani ya Tz siku za mbeleni isave hii ..[emoji41]
 
Sisi tuna interchanges nyingi sana. Zaidi ya kumi. Hata Eldoret ina clover-leaf interchange. Nyinyi saa hii ndio mnaingia kwa haya mambo.
je mmejenga interchange eldoret kwa matntik gani..?
(a).mahitaji
(b)fashion

je ilideserve hiyo sehemu kuwa na interchange?...


poor kenyan plan[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…