Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hapa “super bridge”

Mimi nimekupa mfano wa nchi ambayo highways kama Thika ni kitu cha kawaida lakini hawaiti zao “superhighway”
 
Alafu ukumbuke pia freeway ni sawa na super highway, we unapagawa na majina mzee baba
 
Hii hapa “super bridge”
View attachment 1677192
Mimi nimekupa mfano wa nchi ambayo highways kama Thika ni kitu cha kawaida lakini hawaiti zao “superhighway”
Marekani wanaita freeways ambayo ni sawa na super highway au expressway..
Najua hapo lugha ndio inakukanganya ndio manake wamarekani wakifika uingereza wanakorogeka..

Alafu hyo picha sio ya bridge ya kenya
 
What? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Kwa hiyo unadhani “highway” haitumiki marekani? Wewe ni mjinga! Mimi sijakuonyesha picha! Nimekuonyesha neno “super bridge”
 
mkuu hiyo ni zaidi ya terminal......
 
. Yo what's good my beautiful people .? Kenyans ar u there.? [emoji23][emoji23][emoji23] Upcoming East Africa's giant .. by the way hiyo sgr terminus ya dsm hauwezi kukutananayo popote pale EA

uhunye mda huu anatamani stations zao na reli yao yote zibomolewe na zijengwe upya ili kuzifunika za Tanzania.
this is what we call the VALUE FOR MONEY!
 
Uhuru Kenyatta amiini macho yake🙂👇👇👇👇
 
Attachments

  • Screenshot_20210114-132715_DuckDuckGo.jpg
    27.9 KB · Views: 12
uhunye mda huu anatamani stations zao na reli yao yote zibomolewe na zijengwe upya ili kuzifunika za Tanzania.
this is what we call the VALUE FOR MONEY!
🤣🤣🤣🤣Nkileta interior za SGR Kenya najua itakaa kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…