Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tusemeni ukweli hii terminal haina muonekano wa public structure at all kama mtu alishaingia Kilimanjaro kempisk hotel interior design yake ipo exactly kama hii terminal

Hii terminal unaweza sema ni 7 star hotel, ipo so luxurious and unique to the extent hata naogopa kuongelea how we gonna keep this beauty live long 😍😍😍😍
 
Of course itakuwa maintained. Hapo unaona ni fantastic na bado it hasn’t even come to life. Bado businesses hazijaanza kuingia, bado hawajaweka furnitures na bado hawajaweka Alama za maelekezo. Vitu vyote vikikamilika it will look even better!
 
Of course itakuwa maintained. Hapo unaona ni fantastic na bado it hasn’t even come to life. Bado businesses hazijaanza kuingia, bado hawajaweka furnitures na bado hawajaweka Alama za maelekezo. Vitu vyote vikikamilika it will look even better!

Size yake si kubwa sana ...hivyo ...shall be easily maintained.....when under a half decent management
 
Na mwanza unafkiri itakuaje ??[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] lazma wachina wafanye maajabu kujikosha mbele ya waturuki
Na dizain tunawapa sisi wenyewe hakuna kuweka makofia yao km walivyofanya kunako Kunyaland [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo bado tunaendelea kuvunja rekodi zetu wenyewe, yn kila terminal ikiisha inafunika iliyopita, na terminal zote zinakaa airport, ss km Wakenya walipagawa na Dodoma bus terminal je hizi itakuwaje?nasubiri Mbezi bus terminal [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…