Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa anakifanya kipofu.
 
Sasa unajifariji na ownership? Hahaha. Ina tofauti gani hata kama aliens ndio wanamiliki hizi za Kenya?
 
Mimi naongea kuhusu skyscrappers lakini huyu pimbi Trubarg anaongea kuhusu business centre.
Huyu sio wewe huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Nimeshasema kwamba Kenya tuna Westlands, Upperhill na CBD. Hizi ni business districts tatu za Nairobi. Nyinyi mna business district moja.
 
Huyu sio wewe huyu [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Sijakuelewa unamaanisha nini? Mimi leo nafocuss na skyscrappers maana hapo tumewapiga bila huruma lakini kwenye density pengine mnaweza kushinda.
 
Ss kwahiyo ni CBD moja au unasemaje [emoji3][emoji3]
 
Watanzania kubalini tu kwamba Nairobi ina maeneo matatu panapojengwa skyscrappers na Dar ina pahali pamoja tu ili mjadala uishe.
 
Ss kwahiyo ni CBD moja au unasemaje [emoji3][emoji3]
CBD ina boundaries. Ama unadhani mimi ni mjinga? boundary ya CBD ya Kenya ni Haille Selassie avenue kwa upande mmoja, Moi avenue kwa upande mwingine na Uhuru highway kwa upande mwingine. Westlands ipo mbali kidogo na CBD. Yaani lazima upande matatu ndio ufike westlands. Westlands ni kilomita kadhaa, kutoka CBD. Hata ndio maana haikuwa inaonekana kwenye ile picha ya CBD.
 
Sasa unajifariji na ownership? Hahaha. Ina tofauti gani hata kama aliens ndio wanamiliki hizi za Kenya?

Hamjui hata mpo upande upi, Juzi juzi Mkuu Geza kawaumbua, Eti serikali hazifanyi biashara wakati kwenu hadi serikali inamiliki Hotel, BTW, hamjui vitu mpo mpo tu. eti capitalists, My friend ni aibu kujisifia vile eti Business oriented, capitalists, Aggressive yet mnatembelea Kichwa pamoja na waafrica wengine, tena wengine Bora 10 times yenu. [emoji23] kwa sifa mnazojipa mlitakiwa muwe at least league moja na Singapore au South Korea.
Non of my business by the way [emoji23][emoji23][emoji23]. Capitalists
 
The kind of headings on newspapers in Kenya when our electric trains arrive,

"South Korea grants Dar locomotives for SGR phase I"
Zikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.
 
Nchi yenu mara dufu kushinda yetu kwa ukubwa. Gdp yetu karibu mara dufu kushinda yenu so yes we are capitalists.
 
Hawa jamaa ni uduvi ni ving'ang'anizi kinoma wanadhani in the US city au states au federal governments hawamiliki hotels ama business centers/towers ama malls ama residential buildings!

Ukiwa na mtu ana-exposure ndogo kama Tony254 there is nothing u can do to change him as exposure yake imeishia Czech Republic of all the places!

Hata kinachoendelea hapo Kenya hajui! It's too sad a CPAK can be this shallow on issues of general investments!
 
Zikiwa bullet trains za kweli zenye sura nzuri lazima tutahisi wivu lakini zikiwa mtungi wa chang'aa hakuna media yoyote ya Kenya itakayozungumzia hilo swala.
Nausitegemee mtungi wa mbege bro,vitakuja vitu ambavyo hamjawahi kuota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…