Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wadau nina picha moja ambayo imechanganya CBD na upperhill kwa picha moja. Ila kwa bahati mbaya westlands haionekani kwenye hio picha maana westlands iko mbali. Pia kuna majengo ya upperhill ambayo hayaonekani.
Tazama
Upperhill + CBD (without westlands)


Hatari sana apana cheza.
 
😂😂😂😂😂😂😂
This one incorporates Dar’CBD alone. @NDNDA please leta zile picha za Upanga, Silicon Dar from the ocean
 
Like I’ve said before..no ones falling for your bullshit. Mdomo mwingi vitendo vichache! Hiyo CBD mavi nani haijui?
Wewe kaa kando. Kama una catch mafeelings na unaongea matusi kaa kando.
 
But did I lie? Au Kiswahili ni kikali zaidi unataka niseme kwa kiingereza? You’re CBD is SHITTY! There you go!
Bado hata sijafika CBD. Westlands yetu pekee inakimbizana na CBD yenu na unaongea matope hapa.
 
Uliingia darasani wewe? Wewe si ndo unasema ni “accountant”. Of all jobs... hii ni aibu kushindwa kuhesabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…