President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Lungalunga Border to Mbamba Bay 1,457kmMzee nataka unionyesha neno "paved" maana sijaiona. Kuna aina nyingi za barabara ikiwemo murram road, bitumen na kadhalika. Hio 80k ni mchanganyiko wa murram na bitumen/ asphalt. Wamesema tu 80k of road, hawajasema 80k of paved road.
Kwenye picture wameweka barabara ya aina gani?Mzee nataka unionyesha neno "paved" maana sijaiona. Kuna aina nyingi za barabara ikiwemo murram road, bitumen na kadhalika. Hio 80k ni mchanganyiko wa murram na bitumen/ asphalt. Wamesema tu 80k of road, hawajasema 80k of paved road.
Isiolo county.Wapi hyo coco
Wewe sijui kama ulienda shule. Yaani wao wamesema 80k of roads halafu watanzania slow learners wanaanza kudanganya kuwa KNBS imesema 80k of paved roads. Badilikeni. Hamuelekei kuzuri. Kudanganya kitu ambacho knbs haijasema sio jambo nzuri. Hio ni tabia ya uhuni.kwahiyo roads kwenu humaanisha pia not paved? basi kwenye hiyo 9,000 km kuna gravel roads pia!
Kwhyo huaga mnanunua magari kenya siku hizi[emoji1787][emoji1787]Nakuambia angalia show room prices na uone idadi ya gari zilizouzwa, hyo bil5kshs ni accumulation for 7yrs, na I bet hzo gari nying zimenunuliwa Tz cz huwa naziona porsche nyingi huku.View attachment 1674462View attachment 1674463
Nakubali..Isiolo county.
Umeambiwa uonyeshe neno paved[emoji1787][emoji1787]Kwenye picture wameweka barabara ya aina gani?
Jubilee itawadanganya ninyi lakini sio watanzania [emoji28][emoji28][emoji28]
Jubilee inawadanganya imejenga kilometers 13k kwa miaka mi5Umepanic kuskia kutoka nairobi-moyale, mandera yani kule jangwani unachanja mbuga ukiwa juu ya quality road..
Tayari moja umeipost mwnywe hapo juu[emoji1787][emoji1787]
Sasa sijui mtatatja wapi maskini wa Mungu
Hiyo ni showroom yeyote anaweza kununua mahali popote, lkn sio upuuzi mnaosema eti mnatengeneza nyinyi zen mtuuzie sisi never ever under the sun.Kwhyo huaga mnanunua magari kenya siku hizi[emoji1787][emoji1787]
Hata scannia teargas hakukosea kusema mnachukua kenya pia..
Teargass
Kwn kibongo bongo road ni nnkwahiyo roads kwenu humaanisha pia not paved? basi kwenye hiyo 9,000 km kuna gravel roads pia!
Nyie majirani huwa mnapenda kujitoa ufahamu mbona kwenu ishatokea tena sio mara moja🙂Mafuta balaa kule lazy land
View attachment 1674459
Heheheh!!kwn nyie hamna shiwroom hko bongo, kiukwel kenya haikwepeki lazima mje mnunue magari huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo ni showroom yeyote anaweza kununua mahali popote, lkn sio upuuzi mnaosema eti mnatengeneza nyinyi zen mtuuzie sisi never ever under the sun.
Kwnz ma engineer hamna kutuzd iweje mtujengee magari sisi wenye quality engineers?
Hiyo showroom haina shida cz zinatenezwa na wenye akili so tutanunua tu.
Acha kuongea upumbavu....jeshi la vibaka EA
The most foolish person in this forum, very lazy thinking.Hiyo ni showroom yeyote anaweza kununua mahali popote, lkn sio upuuzi mnaosema eti mnatengeneza nyinyi zen mtuuzie sisi never ever under the sun.
Kwnz ma engineer hamna kutuzd iweje mtujengee magari sisi wenye quality engineers?
Hiyo showroom haina shida cz zinatenezwa na wenye akili so tutanunua tu.
Wacha mchezo. Kenya posche zimejaa kama njugu. Hio ndio maana posche iliamua kufungua show room Kenya na sio Tanzania kwa sababu tuna purchasing power. Nyinyi inabidi mje hadi Kenya kununua posche. Hamjafika level ya kuwa na show room ya posche.Nakuambia angalia show room prices na uone idadi ya gari zilizouzwa, hyo bil5kshs ni accumulation for 7yrs, na I bet hzo gari nying zimenunuliwa Tz cz huwa naziona porsche nyingi huku.View attachment 1674462View attachment 1674463