President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,304
Sasa Tony254 database time update siyo kwaajili ya public. Tutaiweka kwenye public mwaka 2035. Sasa hivi vumilia tu. Utaona google maps ikibadilika.Update data zenu. Wacheni kuwa washamba. Sasa unatulilia sisi Wakenya tukusaidie aje? Ambia serikali yenu iwache kuzembea iupdate database yenu ya barabara
Mbona unapindisha jamani[emoji1787][emoji1787]Naomba uangalie price ya show room, sitaki upuuzi tafadhali.View attachment 1674453
evidence yote yameuzwa Kenya? ukipata over 30% i will quit JF!Gari moja ni between ksh 10 million to ksh 28 million na wameuza more than 400 cars. Nchi yenu masikini haiwezi kuafford kununua posche zaidi ya 400 in 5 years. Sales ya ksh 5 billion unadhani ni mchezo?
Hehehehe!!kautafute..Uzi gn huo siujui mm, uleteni hapa tuanze upya tuone.
Yeye karudia moja tu baada ya kuona wewe umerudia nneToptorn wacha kulialia. Huyu Venus Star pia anajirudia. Yeye keshapost Dar to Mwanza ambayo lazima upitie Dodoma halafu tena sasa hivi amepost Dar to Kigoma ambayo pia lazima upitie Dodoma. Kwa hivyo hata mwenzako venus star anajirudia, kwa hivyo wacha kulialia. Wacha sindano ipenye.
Hiki nini?Umechanganyikiwa. Hakuna mahali knbs imesema kuwa Kenya ina 80k of paved road
Hio sio price ya showroom unavyodhani wewe. Wewe kwa kuwa slow learner unadhani kuwa wanazungumzia price la jengo lenyewe lakini wao wanaongea kuhusu "showroom price of posche cars" yaani bei la showroon la gari moja. Chanuka mzee wacha kuwa slow learnerNaomba uangalie price ya show room, sitaki upuuzi tafadhali.View attachment 1674453
Mpuuzi huyo, ana ngangania gharama ya showroom huku akikwepa na bidhaa[emoji1787][emoji1787]Gari moja ni between ksh 10 million to ksh 28 million na wameuza more than 400 cars. Nchi yenu masikini haiwezi kuafford kununua posche zaidi ya 400 in 5 years. Sales ya ksh 5 billion unadhani ni mchezo?
Another jua kali type [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205]
Tunduma to Isibania 1,237kmUpdate data zenu. Wacheni kuwa washamba. Sasa unatulilia sisi Wakenya tukusaidie aje? Ambia serikali yenu iwache kuzembea iupdate database yenu ya barabara
Wapi hyo coco
Kazi inaonekana, ninyi mnajenga kwenye makaratasi 🤣Sio nyie mnaojigamba km mumetumia miaka mitano kujenga miundombinu tz kuliko awamu zote zile[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuki kw nguruwe[emoji1787][emoji1787]
Mzee nataka unionyesha neno "paved" maana sijaiona. Kuna aina nyingi za barabara ikiwemo murram road, bitumen na kadhalika. Hio 80k ni mchanganyiko wa murram na bitumen/ asphalt. Wamesema tu 80k of road, hawajasema 80k of paved road.
Hii issue ya magari Ku sink Kenya imekithiri mno 🙄Tourist buses r sinking in Kenya
kwahiyo roads kwenu humaanisha pia not paved? basi kwenye hiyo 9,000 km kuna gravel roads pia!Mzee nataka unionyesha neno "paved" maana sijaiona. Kuna aina nyingi za barabara ikiwemo murram road, bitumen na kadhalika. Hio 80k ni mchanganyiko wa murram na bitumen/ asphalt
Umepanic kuskia kutoka nairobi-moyale, mandera yani kule jangwani unachanja mbuga ukiwa juu ya quality road..Kazi inaonekana, ninyi mnajenga kwenye makaratasi [emoji1787]
Nakuambia angalia show room prices na uone idadi ya gari zilizouzwa, hyo bil5kshs ni accumulation for 7yrs, na I bet hzo gari nying zimenunuliwa Tz cz huwa naziona porsche nyingi huku.Hio sio price ya showroom unavyodhani wewe. Wewe kwa kuwa slow learner unadhani kuwa wanazungumzia price la jengo lenyewe lakini wao wanaongea kuhusu "showroom price of posche cars" yaani bei la showroon la gari moja. Chanuka mzee wacha kuwa slow learner