Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This is what is called shallow thinking now i see why other kenyans ignored you,
i expected you to bring the poverty rate in both countries but instead you brought pictures of homeless people found everywhere.
Because of that I'll also pass kimya kimya.
 
Hapa hakuna habari za statistics, hapa mwendo ground tu, statistics huwa mnaongopa sn, kwa mfano mmeandika kule Google kwmb Wakenya wana maisha mazuri EA je ww binafsi pasipo kushikiwa akili unakubaliana na hyo hoja?

Ss weka hapa umaskini wa watanzania tuweke umaskini wa Wakenya, mbn ni vitu vinaonekana tu!![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
hapo hakuna cha shallow thinking wala masuala ya kuignore ,,tafuta sasa homeless people watanzania compare na hao wenu wakikenya kisha pima mzani.....wacha pang'ang'a za genje[emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
haya ni mabanda ya kunguru au nyumba za rich people from Nairobi kenya
 
🤣lunatic
 
Slums[emoji1787][emoji1787]
Rudia tena
 
wanaitwa wazee wa midomo ukitaja facts mahali wanaanza zile hekaya zao. Hawa ni wa kupuuza tu
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Hio shahada ya uchawi ndio imeniacha hoi, majirani hawaishiwi vioja
 
Poverty rate!
Hapo amekuonesha vitu kwa ground.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…