Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbn mnachanganyana wenyewe kwa wenyewe, mara 3km mara 300m, mara 600m yn wakenya ni waongo mnoo [emoji3][emoji3]
 
Najua inawauma kuwa kuna projects nyingi Kenya kuliko Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Tunajenga barabara, tunajenga reli, tunajenga madaraja, tunajenga meli, tunajenga shule, tunajenga, hospitali, tunajenga visima vikubwa vya maji, tunajenga maghara makubwa ya chakula, tunajenga bus terminals, tunajenga Abattors, tunajenga stadiums, tunajenga ports, tunajenga Airports vyote hivyo kwa wakati mmoja na ndiyo maana haijashangaza kuongoza East and Central Africa ktk gharama ya miradi, yn sisi ndiyo baba lao hapa EA mtake msitake, mpende msipende [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji87][emoji87][emoji86][emoji86][emoji204][emoji204][emoji85][emoji85]
 
evidence? au unaongelea na urefu wa barabara nzima? hamna uwezo wa ku-carry out big projects like a 3km bridge! Mnafikiri ni sukuma wiki? naona poor foundation already!
Nmeshawaambia tayari kwmb huo mradi ni mavi matupu hapo mana foundation ni mbovu sijawahi kuona, so ni juu yao kuistua serikali yao mapema kwmb waache ujinga watoe pesa wajenge kitu quality.
 
Hahahhahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Wameanza kusema nao wanajenga 3km long bridge lkn japo wanaongopa ili wawe sawa na sisi but yetu ni 3.2km[emoji3][emoji3]

Naona wameanza kuingia miradi isiyotija ili tu waonekane wanaenda sambamba na sisi, alafu bridge yenyewe foundation ni jua kali type [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90][emoji375][emoji373][emoji2923]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…