Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

3 km toka wapi mpaka wapi? Au mmeskia project ya JPM Bridge Mwanza city mkaamua kuiita yenyu 3 Kim pia!

Wewe Tony254 hebu eleza 400 m bridge imekuwa 3 km? Hii ni desperation ya hali gani?
Hata mimi sikuwa najua mambo mengi kuhusu mradi huu. Imenibidi niende nikaifanyie research. Kwanza hii dongo kundu bypass project ina bridges mbili mpya. Na moja ni 3 km long. Lazima mtatia adabu.



More than 200 piles have already been driven into the ground.
 
Najua inawauma kuwa kuna projects nyingi Kenya kuliko Tanzania[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kenyatta kawadanganya ni 3km bridge [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] leo nimecheka sana
 
Hizi projects zikiisha Dar is slum will never rival Mombasa again[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Iko wapi 3km long ukipata nitag mm nifunge acc mara moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
More than 200 piles have already beem driven into the ground.
 
fanya tafiti yako binafsi upya.....

utajua
 
Jamani nimecheka kwa sauti. Mpaka wapendwa waliokuja kunitembelea mimi mtumishi wa Bwana wakaniuliza kitu kipi kikichekeshacho Mtumishi wa Bwana!?
 
Ameen mtumishi......
 
evidence? au unaongelea na urefu wa barabara nzima? hamna uwezo wa ku-carry out big projects like a 3km bridge! Mnafikiri ni sukuma wiki? naona poor foundation already!
 
Hapa kunatakiwa kujengwe high rises kama zile zinazojengwa na TBA magomeni,
yaani watu wawe compensated kujengwe apartments na sehemu za recreation pamoja na soko na Malls,
Ni sehemu ya Karibu kabisa na mji halafu pamekaa hovyo sana
hiyo manzese siku za usoni itapotea na kuwa mpya.....

kama umegundua kitu kwa watu wanavuliwa sana nyumba zao na zinajengwa hotels na lodge hiyo sehemu inachange taratibu
 
evidence? au unaongelea na urefu wa barabara nzima? hamna uwezo wa ku-carry out big projects like a 3km bridge! Mnafikiri ni sukuma wiki? naona poor foundation already!
Usiache kunitag geza plz 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…