El Matador
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 7,132
- 3,936
Njaa haidanganyi....middle economy ya kwenye makaratasi munashindwa kujilishaππππ
Alafu vile njaa imewakutia pabaya .......
Angalia ethiopia ni jangwa lakin anawauzia chakula
View attachment 532790
ha haaaa .......umepotea mnaringanisha pale umoja pakipuuzi na kariakoo........[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza pumba mshikaji haukui tukariakooo ni kama umoja phase 1....
Habari ya mtetezi wa Dar Is slum......tembea uone mengi maisha ya uswazi ni duniha haaaa .......umepotea mnaringanisha pale umoja pakipuuzi na kariakoo........[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] punguza pumba mshikaji haukui tu
Nakkei Nairobi. ...my favourite track. Welcome to the cold Nairobi Mbilia BellAmekuja kueneza amaniππππππ
Yamaanisha nchi haina amani na uchaguzi huu
Sijui kama salama ipo
View attachment 532791
Si nyie mna moja afu mnaigawa kwa vipande hapa, na usije ukasema kariako ni cbd tena juu hua tuna ifananisha na githurai 46
ha haa safi sana mwanangonjera uko nishafika pia hata mashariki ya mbali.....hamna kitu hapo nairobi......zaidi ya kulifanya jiji kuu kuwa jiji la ufugaji wa sungura nairobi.......ni kibanda cha nguruweHabari ya mtetezi wa Dar Is slum......tembea uone mengi maisha ya uswazi ni duni
ha haaa mnalazimisha jiji liwe na wanyama pori.....Nairobi!!!
View attachment 532902
Yep. One of a kind Major City in the universe. Where Concrete Jungle meets Natural Jungle π π πha haaa mnalazimisha jiji liwe na wanyama pori.....
aisee mnashida sana mnatumia nguvu sana ili watalii wafike hapo
wakenya bwana naona mpo na city of jungle[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nitoke mara ngapi.......city yenu haijanivutia..........We were developing roads and Dar was developing towers between 2010-2015. Now we are back to the towers 2 years and 40 towers are going up at a go.Hehehe.....Sisi ni wale wasee.Lusematic toka uswazi kwa makonda uone real cities
mwanza pia inayo national park within the city usijipe moyo sanaππππYep. One of a kind Major City in the universe. Where Concrete Jungle meets Natural Jungle π π π
zitaje hizo 40 towers tusikieππππππWe were developing roads and Dar was developing towers between 2010-2015. Now we are back to the towers 2 years and 40 towers are going up at a go.Hehehe.....Sisi ni wale wasee.Lusematic toka uswazi kwa makonda uone real cities
kariakoo sio level yenu wacha kulazmisha mamboππππππkariakooo ni kama umoja phase 1....
Go to skyscrapercity kenya ujionee........30% in Africa ndio zetu hapa mjini Nairobizitaje hizo 40 towers tusikieππππππ
usituletee habari za proposed hapa πππππ munapenda sifa alafu hamuna kituGo to skyscrapercity kenya ujionee........30% in Africa ndio zetu hapa mjini Nairobi