Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wajuba emu tusaidieni jamani,
Hizi poles za ethiopia na tz zinatofauti gani kiurefu jamaniee
 
Kweli umeongea kama kichaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ propagandist huyu hapa, Tz phase one hata kwa hiyo "pesa zetu" haikutoshaπŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚, kwa sasa all other phases mukulu amekopa,unajaribu kutubeba ujinga kama mlivyo bebwa kishenzi na CCM?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na huo uchumi wenu hafifu, with a big population, more poverty loading, we can bet! your economy haina capacity ya kujisimamia wala kulipa madeni kubwa!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ jitekenye tu kisha cheka kabisa!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tanzania tunajenga zaidi ya kilometres 1100 ndani ya miaka mi3 tumeajiri kwa pesa zetu na mambo yanaenda kwenye miradi mingine ya billions of dollars

Ninyi hamna mradi hata mmoja wenye thamani ya dollar billion 1 lakini wafanyakazi wana miezi 6 hawajapata hata cent πŸŽƒπŸŽƒπŸŽƒπŸŽƒ
 
Wakunya hata colleges zenye hadhi hiyo hawana
Wivu itakunyonga kaka πŸ˜› πŸ˜› πŸ˜‚ πŸ˜‚ unatamani sana fikra zako ziwe kweli lakini haliwezekaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, higher education ndio hata hampo kabisaaaa!!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ anyway "dreams are valid"., keep trying tu...,
 
Phase one imechukua muda gani?., tuanze hapa.,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…