Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwao elimu nikujua kuongea english tu wanadhani ukiongea kiswahili basi huna elimu. Na hii kasumba ni muda mrefu sana Kenya hata ndani ya Kenya yenyewe japo kwa sasa imepungua sana na wengi wanaanza kuzungum,za kiswahili.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
https://www.facebook.com/
 
Eti wana compare the ksh12.8bn with ksh1.7bn aibu naona mm wallahi hahahahaaaaaa, ona[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Hao wako kazini, endelea kuwapa shavu tu..unafikiria ni kila channel ni ya kuiokota na kuileta huku...
Fuatilia channels za maana hata mara moja moja basi acha kuwehuka
 
Endelea kujiliwaza na hivyo viblog uchwara sisi tunasonga mbele kwa mbele by the time mnakuja ku-realize tayari kumeshakucha! We talk less and do more!
 
Semeni mturuki kawapiga baada ya kuona nikm atawapa kitu cha maana yeye akaleta kituko cha mwaka..
Sasa mumeamua kurudi kw wenye kazi hzo, wachina hakuna wakumzidi hyo sector..
Hela yako ndio itamshawishi

Mpunga km haueleweki anakudungia kitu km cha ethiopia, ukileta ujuaji anawapiga km nigeria[emoji1787][emoji1787]
 
Sisi wachina tumeanza nao tangu zamani sana miaka ya 60's kuanzia kujenga reli na barabara. Hatujawajua leo kama nyie ndo maana wanawapelekesha na kuwaingiza mkenge kiboya boya. Na hapa Tz wapo miaka mingi wanafanya kazi za ujenzi hivyo tumefanya nao kazi nyingi, tumewazoea na tunawajua ndiyo maana hawawezi kutuletea upimbi na wakijaribu tunawatimua. Siyo kama nyie mnawatetemekea mpaka wanawatandika viboko/fimbo matakoni watu wazima na familia zenu. NYAMBAFU!
 
Ndio maana kawajengea takataka [emoji316][emoji316][emoji316]
Umeshindwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Heri mkashtukizia mapema km mturuki alikua anawacheza...reli ya mturuki haitobeba double stack, wala haina fence yani upuuzi mtupu
 
Endelea kujiliwaza na hivyo viblog uchwara sisi tunasonga mbele kwa mbele by the time mnakuja ku-realize tayari kumeshakucha! We talk less and do more!
Bro hapo pa ku talk less and do more umedanganya😂😂😂 mnapayuka sana! Kelele kibao kutoka kwa mukulu na uzinduzi, mawaziri, na raiya, ni muda mrefu hamjaona maendeleo bado mnashangaa shangaa! Mlianza kwa kusherehekia lift, sasa ni flyovers na ni chache bado😂 wenzako wanakiri😂😂
👇👇👇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…