Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,180
- 107,769
Where r the facts? As far as I know, Moi scrapped A levels n instituted class 8 to compensate for more years prior university as GoK couldn't afford building schools for A levels!Today's facts.
Did you know that Kenya has twice the number of Primary Schools as Tanzania despite Tanzania having a bigger population?🤣🤣😂
I think you should know that.
According to Kabudi hii Habari ilikuwa more than accurate!mnaikumbuka hii
View attachment 1670132
Leo yenyewe sikupanga kunywa bali ni mazingira tu yamenikutia hapo mkuu nikawa sina jinsi [emoji3][emoji3][emoji3]kama kesho utakuwa free ongeza hata nyingine tano....
kwa mbali mwana Liverpool nitakusindikiza mkuu..[emoji41]
sasa ndiyo waelewe,,tunawafunza kuwa mapato ya ndani hayafai kukumbatiwa inapaswa pesa zitoke zikatimize miradi siyo kila kitu kukopa kopa tu......According to Kabudi hii Habari ilikuwa more than accurate!
Mr Wang will also witness the signing of a contract for the construction of the fifth phase of the Standard Gauge Railway (SGR) railway from Mwanza to Isaka with a length of 341 km.
Prof Kabudi said the fifth lot construction of the SGR will cost Sh 3.00617 trillion and will be implemented by two Chinese companies.
SGR on the agenda as Chinese foreign minister visits Tanzania
Chinese Foreign Minister Wang Yi is expecting to pay a two-day visit to Tanzania to strengthen political and economic bilateral relations between the two countries.www.thecitizen.co.tz
mkuu waambie majirani another SGR phase kwa mapato ya ndani soon...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo yenyewe sikupanga kunywa bali ni mazingira tu yamenikutia hapo mkuu nikawa sina jinsi [emoji3][emoji3][emoji3]
They used the same excuse after they stopped going to South Africa two weeks after launching the route 😂Alafu anatoa excuse ya covid restrictions, restrictions kitu gani na hamkuwa lockdown na China pia hawajakuwa lockdown tangu February😂😂🤣😂. Ama hiyo ndege yenu ilikuwa ya kubeba waingereza wenye bado wako lockdown?🤣🤣😂🤣
Hujui kusoma? Ama kilichoandikwa hapo ndio hujaelewa?Ninyi siku hizi ni watanzania? 🎃🎃
Usijali mtani furahia tuu ushindi wa Simba 🙂Leo yenyewe sikupanga kunywa bali ni mazingira tu yamenikutia hapo mkuu nikawa sina jinsi [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaaaa wanaona, ila jana tumewachosha sn, walikuwa hawaamini km sisi tuko mbele yao kielimu ndo wamejua jana so leo hawana hamu na battle tusubiri kesho tuone huenda wakasahau ya jana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mkuu waambie majirani another SGR phase kwa mapato ya ndani soon...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SGR yao imeishia vichakani
Hahahahaaa nafurahia ila imeniuma kimtindo but kwa upande mwingine nafurahi mana hawa monkeys wametii kwmb ligi yetu ni bora ukanda huu [emoji3][emoji3][emoji3]Usijali mtani furahia tuu ushindi wa Simba 🙂
Magu boy analeta heshima afrika,yan mchina anatoka kwake kuja TZ kuyapanga sio yule mlevi wa wakunya kila siku anapiga misele ya kutembeza bakuli ulaya na china na anachezea za usoMchina lazima ajenge mpaka DRC, lengo lake awali ilikua ni kufikisha SGR Uganda na DRC, kitendo cha huyu kigogo kuja mpaka Chato kina ujumbe mzito sana
Kwenye communique nimeona watakua na mazungumzo ya faragha, hapo kuna jambo