Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyu mpiga picha mshenzi! yaani, kaamua achukue mpaka Katambuga za mwana😳😳
Aisee mungu ibariki Tanzania umaskini wa hivi daaah mtihani Sana unapata Dogo anakula mlo moja kwa siku alafu viongozi wao ndo hawa hapa👇👇👇👇kila siku nawambia Tanzania sio level yenu upumbavu wa hivi huwez ukaupata kwetu hivi Kenya mnakwama wapi?
 

Attachments

  • Screenshot_20210105-221521_DuckDuckGo.jpg
    91.7 KB · Views: 17
  • Screenshot_20210105-221449_DuckDuckGo.jpg
    64.5 KB · Views: 19
  • Screenshot_20210105-221317_DuckDuckGo.jpg
    67.6 KB · Views: 20
  • Screenshot_20210105-221251_DuckDuckGo.jpg
    69.4 KB · Views: 20
  • Screenshot_20210105-220837_DuckDuckGo.jpg
    82.4 KB · Views: 19
Kitu mnatakiwa Mkijue
Humu Kuna Wakenya Vilaza 2
Wanao tumia Id mbili mbili kila mmoja
Fuatilieni Post zao Hizo ID ni Ujinga Ule ule
Id moja ina post nyingine Ina Like
Na Ikiondoka zinaondoka Zote
Ziki Rudi ni pamoja
Wakunya wapo frustrated sn yn ni hopeless kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…