President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,634
- 94,255
Badohizi levels mtabaki kuzionea Tanzania
Tambaza High School
View attachment 1669232View attachment 1669233View attachment 1669234View attachment 1669235View attachment 1669236
Hii African full Facts unayong'ang'ana nayo iko owned na mpumbavu mmoja! Inawezekana wewe ndo mhusika!
Hizo statistcs zanu za kubumba mnajiaibisha.
Dogo ashukuru hilo hogo, kama sio hivyo angenyanyuliwa kama kibaka na afande onyangoro ampishe mthungu seat kwa raha zake 🤣🤣🤣
Dogo ashukuru hilo hogo, kama sio hivyo angenyanyuliwa kama kibaka na afande onyangoro ampishe mthungu seat kwa raha zake 🤣🤣🤣
View attachment 1669259
Economy inayonuka madeni yasiolipika🤣🤣🤣👇👇👇So we have money to pay because we are a larger economy.Stop the “port takeover” propaganda .
Unaeza kuta ana jinsia zote mbili 🤣🤣🤣Hivi huyu mwalimu ni wa kike au kiume🤣🤣🤣
Matope Secondary school🤣🤣hizi levels mtabaki kuzionea Tanzania
Tambaza High School
View attachment 1669232View attachment 1669233View attachment 1669234View attachment 1669235View attachment 1669236
Hana nina tens of them untouched, nawaonea huruma sababu wamekata pumzi mapema sana, nishapost chache tu ila wao ni kurudia ile St onyango kila saaBado
Jitegemee Srkondary
Makongo Sekondary
Mawenzi Sekondarily
Moshi Secondary School
Moshi Technical Secondary School
Mkwawa Secondary School
Ifunda Technical Secondary School
Nk.....
Orodha ni ndeefu mno.
Unaeza kuta ana jinsia zote mbili 🤣🤣🤣Hivi huyu mwalimu ni wa kike au kiume🤣🤣🤣
Hii shule umeshairudia zaidi ya mara 10 na bado haina hata nusu ya hadhi ya Galanos secSasa unapiga kelele na tukikupea mashule zetu za public mnaanza kulia[emoji23][emoji23][emoji23]. Tulia na hii[emoji116][emoji116][emoji116]
Nairobi School.
View attachment 1669169View attachment 1669170
Unataka kama hii? 🎃🎃Matope Secondary school🤣🤣
Huwezi pave pitch kaka achaga kua kama kibwengoMatope Secondary school🤣🤣
Nimecheka kdg nizimie [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1668971
acha maneno mingi fungua thread tu battleHuna picha zingine!?
Halafu nchi yenu ipo na shule 10 tu nzuri!? Na zina milkiwa na Catholic!?