Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee hii ni hali mbaya sana serikali ya Kenya haina shule za maana. Zote zinamilkiwa na either mtu au jumuiya.

Eti jumuiya wanaita public!!!? My God tangu lini kanisa likawa public entity!?

Je kanisa linakaguliwa na serikali mapato yake!?
Acha kanisa, kenya hata community wanajenga shule..
Legacy ya harambeee hyo..
Wala hamtowahi kutufikia wakenya likija swala la umoja katika maendeleo
 
🀣🀣🀣🀣 Yale maID fake yamekuelemea? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya nenda wakupe kazi ya kuzoa taka πŸ˜…πŸ˜…
 
Mbona unalalama kijana. Tunataka kuona shule zenu za serikali unaleta shule za Roman Catholic. Hahahahhaa
Tumewaonyesha shule za serikali, gani tena bado unataka?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Here is a list of all public Secondary schools in Kenya. Ziko karibu 3000.


 
Amevurugwa huyo
 
🀣🀣🀣🀣 Yale maID fake yamekuelemea? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya nenda wakupe kazi ya kuzoa taka πŸ˜…πŸ˜…
Which ID fake dogo?., what are u talking about?
 
Peleka inferiority complex mbali., ama fungua uzi fresh kama uko na makende nikuabishe fair and square! Do you have balls?
🀣🀣🀣🀣 Shule mlizopost hata hazifiki 15 wakati sie tumeweka zaidi ya 60 nchi nzima kasoro Dar πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Na bado ninazo hapa mpaka nachanganyikiwa 🀣
 
🀣🀣🀣🀣 Yale maID fake yamekuelemea? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Haya nenda wakupe kazi ya kuzoa taka πŸ˜…πŸ˜…
Do you have balls? I dare u...,mr. propaganda., Tanzania ni dead state run on propaganda na porojo., I can prove., wacha kukwepa
 
The school was started before we attained the Independence. After Independence it was taken over by the government and now it's a government school. The government is building everything in the school, the government is the one paying the teachers. Let's take example this structure that was built by the kibaki govt.[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Hahahaha Nilikutwanga na planned towns mpaka ukakimbia na chupi mkononi 🀣🀣🀣

Najua hotonisahau 😜
When? Tag me right now!! been off JF for over a month you idiot, ikija miji hamjuniwezi kamwe., nawaumbua na kuwafumania, pengine wakenya wenye hawaijui hiyo dead state, kindly weka hapa hiyo thread sasa hivi nione!! do it now....,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…