Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aisee hii ni hali mbaya sana serikali ya Kenya haina shule za maana. Zote zinamilkiwa na either mtu au jumuiya.

Eti jumuiya wanaita public!!!? My God tangu lini kanisa likawa public entity!?

Je kanisa linakaguliwa na serikali mapato yake!?
 
Aisee hii ni hali mbaya sana serikali ya Kenya haina shule za maana. Zote zinamilkiwa na either mtu au jumuiya.

Eti jumuiya wanaita public!!!? My God tangu lini kanisa likawa public entity!?

Je kanisa linakaguliwa na serikali mapato yake!?
dalili ya kushindwa ushaanza kulia
 
Do you understand the meaning of national Secondary schools?[emoji23][emoji23][emoji23].

In Kenya Secondary schools are divided into categories.
1. District Schools
2. County Schools
3. Extra County Schools
4. National Schools.

Sasa wewe ukiona hapo imeandikwa national school wewe jua ni category four[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani hebu tuwaone hawa sasa
Kwahahahaha. Yaani shule za serikali 105 tu.
View attachment 1668684
 
Acha ujinga wewe Catholic tangu lini ni public!?
 
Happy New year! Naona bado mnatapatapa tu, nothing meaningful to offer, ya mashule hamtoweza naweza waumbua humu mkimmbie, Uganda wako juu yenu so nyie jilinganishe na Malawi hivi, to begin: Sasa in Tz thisπŸ‘‡πŸ‘‡ is private, na hapa pia hamtoweza, and I bet Uganda is on top of you

St. Peter Claver High School, located in Ihumwa, Dodoma, was established in 2011 because of a partnership between the Jesuits of Eastern Africa Province and Our Lady Queen of Peace Foundation of Canada. The school is located 15km from the administrative capital of Tanzania – Dodoma.
 
Acha ujinga wewe Catholic tangu lini ni public!?
Acha kulia bana[emoji23][emoji23][emoji23]. This is a list of all public Secondary schools in Kenya. Tafuta Mangu High School hapo ukikosa nafunga account[emoji1787][emoji1787][emoji23]


 
Mbona unalalama kijana. Tunataka kuona shule zenu za serikali unaleta shule za Roman Catholic. Hahahahhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…