I can feel your pain[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]Hakuna assembling plant ya more than 7 brands, ava inadeal na magari yote mnayosema mnaassemble Kenya nzima
Onesha hyo assembly plant kwnn mnaruka icho kipengele [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]Kw akili yako karakana ni plant ya ku assemble vitu
Aaah Kumbe haina tofauti ni gereji kwa hiyo inaweza ikawa vitu viwili tofauti sindio? Pia kama assembling plant msijifanye wajanja majirani🙂Karakana haina tofauti na gereji wewe unasemaje msomi..
Ni sehemu ya kufanyia nini mswahili
They want you to believe that Scania East Africa is now lying[emoji23][emoji23]Wangeli reply basi wala wasingelitumia neno assembled katika hyo conversation..
Au we waonaje, wanadanganya sio[emoji848][emoji848]
Karakana ni garage. What you most there is vehicles repair[emoji23][emoji23]Aaah Kumbe haina tofauti ni gereji kwa hiyo inaweza ikawa vitu viwili tofauti sindio? Pia kama assembling plant msijifanye wajanja majirani[emoji846]
So umeogopa kuniquote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]ichoboy01 alikuwa anasema akionyeshwa assembly plant yoyote ya scania iliyopo Nairobi atafunga account.. kuna jamaa alikuwa anatuma picha, anasema zipo nairobi.. leo analetewa ujumbe kuwa kuna garage (not scania owned) ipo mombasa ndo inatengeneza magari (trucks) za Scania! this means that jamaa hajui anachoongelea, “no brain, just vibes”
automobile company gani eti inafanya assembly kwenye plant isiyo yake? hio sio plant, ni garage tu ya mtu ndo inafanya matengenezo! ichoboy01 yuko sahihi.. akionyeshwa assembly plant ya scania atafunga account
Wasagie hao[emoji23][emoji23] nakuja kushindilia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani we subiri tu kuna kunguni wapo kwenye blender, angoje tu kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kubishana na huyo is the wastage of time. Achaneni nayeAva sio scania mzee so hawana mandate ya intervention of any scania products in East Africa, unavyosema lazima kila scania au scania zote Tanzania zimepita ava inaonesha ulivyo wa kutia huruma
AVA sio ya Scania lakini malori za Scania are assembled there[emoji23][emoji23][emoji23] Hadi za Tanzania are assembled there[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]Ava sio scania mzee so hawana mandate ya intervention of any scania products in East Africa, unavyosema lazima kila scania au scania zote Tanzania zimepita ava inaonesha ulivyo wa kutia huruma
Nakwambia ww zunguka ila siku utapa plant assembly in kenya mm nafunga acc jamii forum hakuna mjinga humu ndani 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sasa mnapingana na watu wa Scania ?[emoji23][emoji23][emoji116]View attachment 1667273View attachment 1667274
Kama vile Ava🙂Karakana ni garage. What you most there is vehicles repair[emoji23][emoji23]
Sai imekua scannia ndio wanadanganya jamani[emoji1787][emoji1787]They want you to believe that Scania East Africa is now lying[emoji23][emoji23]
Hahhahaa acha aendelee kutafuta plant akipata tu naombeni munitag 🤣🤣🤣🤣Na kama hii behavior ni ya vijana wote wa kenya mna safari ndefu sana.
Kama vile Ava[emoji846]
Ukitaka kukosana na mtanzania mwambie ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]Sai imekua scannia ndio wanadanganya jamani[emoji1787][emoji1787]
Kweli nimeamini msemo wako ya kwamba watz wanaogopa sana facts, wao zao ni kupiga domo tu
@ Teargass kuna mwngine hku anatafuta mchawi nani[emoji1787][emoji1787]Hahhahaa acha aendelee kutafuta plant akipata tu naombeni munitag [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa wamekuja juu kiukwel, yani wakikupata wanakurogaUkitaka kukosana na mtanzania mwambie ukweli[emoji23][emoji23][emoji23]