Hakuna haja ulie[emoji23][emoji23][emoji23] Just combine all the total revenues za hizo kampuni sasa alafu unitag kama revenue zao zitapita za Safaricom. Kitu nimegundua na nyinyi ni kuwa mnaogopa facts[emoji23][emoji23][emoji23].
Sijakuambia uandike insha😂😂😂, I have only told you to add the total revenues of all the telecom companies in Tanzania so that we can compare with the revenues za Safaricom. Ama hesabu pia ni ngumu kwako?😂😂tumia akili.. ndo mana wanakuambiaga hunaga akili..
sisi tuna mobile operators zaid ya saba.. nyingi mnao chini ya wanne.. unataka mobile operator mmoja wa tanzania awazidi mobile operator wenu ambae yupo kwenye less competition tele industry???
View attachment 1667021
View attachment 1667022View attachment 1667024
Safaricom pekee ana market share zaidi ya 65% anafuata airtel mwenye market share 21%
in other words, unataka vodacom yetu mwenye market share ya 32% hamzidi safaricom mwenye market share ya 65%??
[emoji116]Sijakuambia uandike insha[emoji23][emoji23][emoji23], I have only told you to add the total revenues of all the telecom companies in Tanzania so that we can compare with the revenues za Safaricom. Ama hesabu pia ni ngumu kwako?[emoji23][emoji23]
dogo ficha upumbavu wako!
revenue haziwezi kufanana! each operator has its own top management, branch managements, workers etc.. kamwe revenue haziwez kuwa uhalisia.. na sikuzote kwenye high competition revenues haiwezi kuzid revenues ya kwenye less competition
Wewe ni kama unatype ukilala😂😂😂. Umesema kuwa Safaricom iko na revenues mingi juu imeshika market kubwa Kenya. Umesema pia kuwa kampuni za simu huko Tanzania ni mingi na ndio maana nikakuambie uunganishe mapato ya hayo makampuni zote tulinganishe ni ya Safaricom tuone kama mapato ya hayo makampuni zote can reach to the level of safaricom. Is that hard to do really?😂😂😂dogo ficha upumbavu wako!
revenue haziwezi kufanana! each operator has its own top management, branch managements, workers etc.. kamwe revenue haziwez kuwa uhalisia
Ebu jumuisha mapato ya kampuni zote za simu huko Tanzania utambie ni ngapi😂😂😂. Na ukikataa ntafanya pekee yangu😂😂[emoji116]
nafaham wew ni mbishi! na najua utaendelea kubisha!
Wewe ni kama unatype ukilala[emoji23][emoji23][emoji23]. Umesema kuwa Safaricom iko na revenues mingi juu imeshika market kubwa Kenya. Umesema pia kuwa kampuni za simu huko Tanzania ni mingi na ndio maana nikakuambie uunganishe mapato ya hayo makampuni zote tulinganishe ni ya Safaricom tuone kama mapato ya hayo makampuni zote can reach to the level of safaricom. Is that hard to do really?[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ndio hujielewi😂😂enh.. anaiweza kumuelezea huyu amueleweshe! siwezi muuelezea zero brain
Vipi kenyatta hata haonekani.Mr Mapadlocks anapewa kichapo kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23], anadhani hapo ni Tanzania yenye ataiba kura[emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1666511
Daah, umaskini uliokithiri.Tuje huku sasa. Mungu wangu
Garissa City Republic of Kenya
View attachment 1666482View attachment 1666483View attachment 1666484View attachment 1666486
Sasa kama ninyi bundles mnauziwa karibu 3 times expensive zaidi ya Tanzania unategemea nini?Wewe ndio hujielewi😂😂
safi sana.. hii ndo nilikuwa naongelea.. transactions zetu lazima ziwe kubwa [emoji116][emoji116]
nafaham wew ni mbishi! na najua utaendelea kubisha!
in a simple way, leta transactions zilizofanywa na mobile operators wa kenya na wa Tanzania ndo utaona utofauti wake.. hapa najua kwenye high competition, transactions ndo huwa kubwa
Sasa kama ninyi bundles mnauziwa karibu 3 times expensive zaidi ya Tanzania unategemea nini?
Provider's charges na government tariffs kwenye huduma za mitandaoni na karibu huduma na bidhaa zote Kenya ni mara 2 mpaka 4 ya Tanzania
Angalia kwenye mobile money transactions tumewapita gape la dollar billion 1
Ni pesa ndogo hii?
View attachment 1667077
Kuna yule anaeangaliaga road marks, halafu Nairobi haijawahi kuwa Safi hivi
Kama ana ubavu atuletee total business transactions au total mbs, minutes, sms zilizouzwa kwa wakenya kutoka mitandao yao yote tulinganishe na Tanzaniasafi sana.. hii ndo nilikuwa naongelea.. transactions zetu lazima ziwe kubwa [emoji116]
jamaa anataka revenues comparison, wakati huku kwetu kila mobile operators anatakiwa atoe hela ya matumizi (expenditures) au gharama nyingine kwa top management yote, branches management wote na wafanyakazi wote
na transactions nyingi ndo inadetermine wapi kuna soko zuri
Nahisi kutakua na deal la SGR phase yoyote soon.
Yani huyu demu Teargass ni kabishi mno, haka kana akili za mkunya wa 90s yn ni kakunya original kabisa kabisa, vikunya dizain hii ndio vinasababisha crisis iendelee kunako Kunyaland.safi sana.. hii ndo nilikuwa naongelea.. transactions zetu lazima ziwe kubwa [emoji116]
jamaa anataka revenues comparison, wakati huku kwetu kila mobile operators anatakiwa atoe hela ya matumizi (expenditures) au gharama nyingine kwa top management yote, branches management wote na wafanyakazi wote
na transactions nyingi ndo inadetermine wapi kuna soko zuri
Nahisi kutakua na deal la SGR phase yoyote soon.
Huu mji ni msafi sn kwakweli, roads zake zipo vzr mno.Kuna yule anaeangaliaga road marks, halafu Nairobi haijawahi kuwa Safi hivi
Ww unaongea ujinga snaa mda mwingine niwakupuuzwaMbona walialia na kujiumiza bure, unapaswa upinge kwa data[emoji1787][emoji1787]
Labda unambiw bunge la chato, 1.5 trillion hyo imechezewa bahati nasibu na wala hakuna wakuhoji[emoji1787]