Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mtu amebeba "asante mjomba" kama anaenda mkoani huko njilinji,kumbe anaenda kupanda commuter😭😭🤣
 
kwa hiyo inamaana hata national housing zinapojengwa unataka zisilipiwe rent kisa ni miradi ya kiserikali[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16][emoji16]?
Kwhyo national housing pale getini hupiti mpaka utozwe ada[emoji1787][emoji1787]
Kweli zuka ni zuka tu
 
Hyo ni BRT
 
Hata sisi pia za kitambo tunazo huku tunaita kota ila tuliamua kujenga upya, hebu leta estates za jeshi huko kenya tuone [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kumbe mlikua hamna estates za jeshi [emoji1787][emoji1787]
 
Skid row sio slum,na hakuna,iko well planed..tatizo ni tents za homeless
 
Mambo ya Kenya ni yenu. Mimi nafanya utafiti vitu vya maana kama cosmology, How to make hydrogen bomb nk. Vitu vya kuhusu Kenya ni vyenu watoto msio na uwezo wa kufikiri. Hahahahaha
Kaa utue basi jomba, shairi lotw hilo la nini..kwn uliulizwa au wewe ndio umepagawa ukashobokea comment na ku quote sasa tuliza mshono au utakatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…